Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana nadhani galatasaray ilikuwa ni friendly match na Monza

Vejle naye aka draw na Copenhagen

Mafala sana hawa mamaye zao sijui wamekula ganji kwa Kanji 😂
Friendly matches huwa nazikwepa kwa sababu mara nyingi hazitabiriki, hapo ndo kuna majaribio ya wachezaji na mifumo. Leo timu inashinda goli 5, ukimfata mechi inayokuja anafungwa 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…