Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijui kwa nini wenye mikeka ya maana huwaga wanawahi kuondoka kama kina Einsteini na kidi kudi wanabaki makanjanja kama kina Sasa10 na wenzake......yani mtu anatuma mikeka mwaka mzima hautiki hata mmoja ila anaendelea tu kutuma kama lizezeta.

Betting sio Maisha ya kutegemea sana

Sasa hao waliokuwa wakiweka mikeka ilivyokuwa inatiki yote,sasa sinuliishapata pesa kipindi hicho?
Kama ukipata wekeza sasa kwenye majumba,maduka nk Ili uondokane na kutegemea KAMARI

Ila kama hao unaowataja hukufaudia nao na kutengeneza mustakabal wa Maisha Yako basi jua zama zao zimekupita ukiwa hujielewi

Hakuna Sure ODDS,na makasiriko ya kupoteza pesa kwa KAMARI hayaachagu mtu na Akili Sawa

Tunakuvumilia tu ndugu yetu ila familia ikikuwahi utapona

Chukua na huu Mkeka basi upunguze makasiriko

ODDS : 5

CODE: 5JU4DY

 
Apunguze makasiriko 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…