Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

♥️♥️♥️🤤🤤
1000161457.jpg
 
Fafanua vzr mbona usomeki
Ngoja niongee taratibu, zamani 1xbet.com ambayo inamilikwa na Caecus N.V. (Curaçao) ilikuwa inatoa huduma bila kuwa na leseni ya bongo. kwahiyo hata kama ingetokea changamoto kubwa kwa mbetiji, ulikuwa huna kwa kwenda maana haina leseni ya hapa. kwa vile Sheria za Tanzania zinataka kampuni yoyote inayofanya biashara ya kubahatisha nchini iwe imesajiliwa hapa nchini, iwe na leseni ya local, na ilipe kodi hapa nchini,

Kwahyo Katavi Gaming Ltd ndio kampuni iliyosajiliwa Tanzania na ndiyo inayowajibika 100% mbele ya Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) na TRA. Kama kuna mgogoro wowote wa kifedha au kisheria kwenye .co.tz, Mamlaka za Tanzania zinambana Katavi Gaming Ltd, siyo kampuni ya Curaçao.

Cha kuzingatia ni kuwa 1XCorp N.V. / Curaçao ndio wamiliki wa chapa (brand) ya "1XBET" na mfumo wa programu (software/platform).
Katavi Gaming Ltd wamenunua haki ya kutumia jina, muonekano, na mfumo wa teknolojia wa 1XBET (Franchise Agreement).
Ingawa teknolojia au muonekano wa tovuti unatoka kwa wamiliki wa kimataifa, uendeshaji, server za ndani za data, hifadhidata ya wateja (database), na usimamizi wa fedha wa 1xbet.co.tz uko chini ya Katavi Gaming Ltd.

Kwa kumalizia ni kwamba sasa 1xbet ni sawa na meridian, play master, premier bet, vunjabei bet nk maana wote wana leseni za ndani.


Kwa msaada wa AI.
 
Direct win sio option mzee. Huyo mthenge sporting alikiwa na odds 1.33 na home 12, pia
kulikuwa na mthenge mwingine PSV Nate alikuwa na odds chini ya 35 lakini kadroo.
Screenshot_20260809-002309_1xBet.jpg
 
Duh pole mdawa siku mbaya kazini huwaga ipo ivyo sema kuweka pesa ndefu bora kucheza live mechi
nani anataka mbinu ya kuvizia fixed game sema sasa uwe mvumilivu na stake yako ispungue mia5 mana kuipata tena labda kesho yake na lazma uchoke
 
Duh pole mdawa siku mbaya kazini huwaga ipo ivyo sema kuweka pesa ndefu bora kucheza live mechi
Na mimi hapo nilicheza live dakika ya 44 nilipoona hai washenziii wanaongoza lila kitu kwa kiasi kikubwa
 
Back
Top Bottom