mwaibile
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,136
- 5,175
Sema ligi yao best option ni gori na kona wanatoaga hadi kona 18na magori mengi sanaNa mimi hapo nilicheza live dakika ya 44 nilipoona hai washenziii wanaongoza lila kitu kwa kiasi kikubwa
Sema ligi yao best option ni gori na kona wanatoaga hadi kona 18na magori mengi sanaNa mimi hapo nilicheza live dakika ya 44 nilipoona hai washenziii wanaongoza lila kitu kwa kiasi kikubwa
Me niliweka options ya goli nilishukuruDirect win sio option mzee. Huyo mthenge sporting alikiwa na odds 1.33 na home 12, pia
kulikuwa na mthenge mwingine PSV Nate alikuwa na odds chini ya 35 lakini kadroo.View attachment 3646617
😂😂😂Katavi tena!! Me naelewa zaidi sporty bet,,japo shatumia, meridian,betwinner,1xBET,sportypesa,lakini nikipima uzito sportybet hana mpinzani1xbet kumbe ziko version mbili. kuna .tz na .com. Hii ya .tz imesajiliwa bongo chini ya Katavi Gaming Ltd
Huna code ya 1xbet
Karibu kilingeni57DCW6 sportybet
Kumekucha
Vp huna treni la Betway au la 1×betWawekezaji, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Wakamaria. UWEKEZAJI UENDELEE.
View attachment 3647747
Treni hilo mpaka tarehe 29. 👊🏾
Kanji haeleweki mkuu.Yan kwa kumpiga kanji ni iv game za mwanzo maana anakuwa anaweka odds kubwa zikishafika mechi 5 na kuendelea odds zinashuka sasa