Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
Saa 7 mpaka 11 alfajiri. Stake Lala...! 👊🏾
Tatizo lao hadi uweke kitambulisho kuverify accountMkipata wasaa Tembeleni PigaBet.
Kuna option unazuia goli kwa timu moja wapo ndan ya dk 0-15 - odds ina range 1.08 - 1.20.
Pia wana option ya Double Chance kwenye Magoli meng yamefungwa kipind gani. Hii option ya most goals DC in 1st half or 2nd half imekaa unyama. Na Odds zina range 1.25 - 1.30.
Hakuna sure option mzee. Dakika 0-15 kote huko? Wakati sportybet ni dakika 0-5Mkipata wasaa Tembeleni PigaBet.
Kuna option unazuia goli kwa timu moja wapo ndan ya dk 0-15 - odds ina range 1.08 - 1.20.
Pia wana option ya Double Chance kwenye Magoli meng yamefungwa kipind gani. Hii option ya most goals DC in 1st half or 2nd half imekaa unyama. Na Odds zina range 1.25 - 1.30.
Mbona umepotea mzeeHii match imekaa kushoto kuendelea ku stake ni kufirisika wakuu mm nashuka kwenye hili treni aisee
Hakuna sure option mzee. Dakika 0-15 kote huko? Wakati sportybet ni dakika 0-5
Na wajinga wanatoa hata goli mbili ndani ya hizo dakika 5
Ngumu
Ngumu piaWawekezaji, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Wakamaria. UWEKEZAJI UENDELEE.
View attachment 3647747
Treni hilo mpaka tarehe 29. 👊🏾
Kazi ipoLig zimeanza vibaya
😂😂😂🙌GALATASARAY 🏂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
MANINAAA unasepa na wafuasi wako wa Zumaridi
Hakuna sure option mzee. DWeka vitu mkuuNiliweka mechi 20. Odds 5.5.
Timu moja ikachana..
Niliipa mechi isiwe na magoli 2 ndan ya dk 15.
Almery city. Ikatoa magoli mawili.
Ila hii ndio mbinu nitatembea nayo msimu huu.
Twende kazi kiongozi. Weka code turuke nazo. Hata zikichana poa.Niliweka mechi 20. Odds 5.5.
Timu moja ikachana..
Niliipa mechi isiwe na magoli 2 ndan ya dk 15.
Almery city. Ikatoa magoli mawili.
Ila hii ndio mbinu nitatembea nayo msimu huu.