Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah hawa 1xbet wapo na option nzuri ila wanazuia cashout wajinga sana yan mwendo wa kushikilia bomba
Mbona washout huwa wanaweka vizuri tu? Mfano huu
Screenshot_20260811-001141_Gallery.jpg
 
Mkipata wasaa Tembeleni PigaBet.

Kuna option unazuia goli kwa timu moja wapo ndan ya dk 0-15 - odds ina range 1.08 - 1.20.

Pia wana option ya Double Chance kwenye Magoli meng yamefungwa kipind gani. Hii option ya most goals DC in 1st half or 2nd half imekaa unyama. Na Odds zina range 1.25 - 1.30.
 
Back
Top Bottom