Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila mpaka leo hujawahi kula mamilioni ya mhindi unaganga njaa kama mimi tu.
 
Ila mpaka leo hujawahi kula mamilioni ya mhindi unaganga njaa kama mimi tu.
Kwa taarifa yako Mimi Sibeti kutafuta hela ya kula humu....ulishawahi niona nakomaaa odd2 humu, ama naomba odd 2...betting kwangu ni kama hobi tu...

Na kwa taarifa yako tu...ktk kipato changu....kwa wiki huwa natenga 30k kwaajili ya kamari....kama unasubiri kamari ikubadilishie maisha...utasubiri sana mkuu...endelea kujaribu kuza Cashout code
 
Kauli za kujifariji hizo kama unataka burudani hiyo hela kanywee bia unabet tangu 2003 mpaka leo? muhindi kakufirimba vya kutosha.
 
Kauli za kujifariji hizo kama unataka burudani hiyo hela kanywee bia unabet tangu 2003 mpaka leo? muhindi kakufirimba vya kutosha.
Acha umama ww tafuta jukwaa lako la wasiokuwa na malinda waimba taarabu kwaiyo unataka kila akishinda akwambie ww kama nani kama huna hela yakula wenga namba hapa tukutumie
 
Nimechunguza huyu atakuwa mchele sasa pilipili ipo shamba yeye inamwashia nn kavamia jukwaa aweke namba ya simu tumpe hela ya kula maana naona anatamani sana hela zawanaume wenzake
 
Ushaambiwa africa zipo nchi 25 zipo na ipo app je kwa hapa bongo imeingia mwaka gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…