Toka nianze mbio tarehe 31 siku kama nne hivi ndio sijabeti lakini mpaka jana nikipiga mahesabu siku nilizolost hazifiki siku sita,, kwahiyo sometimes unaona bora kuandaa TU mkeka nastake napoa huku nakuja kupiga story nikiweka huku an nashangaa kwa week naboom mara tatu sio kawaida yangu kwa odds mbili kushuka chini
😂😂😂
Kuna mtu aliwahi kutoa maelezo juu ya nguvu za Giza na baadhi ya watu kuwa na nyota mbaya ktk kushirikiana.
Akasema hata Biashara,unaweza ku share na mtu NDIO ukafilisika au ukawa huendi popote na similar to nyumba za kupanga,zipo nyumba ukipanga Kuna mtu nyoya yake mbaya ktk sehem hiyo basi watoto full kuumwa,Kazi kuachishwa deals KULALA nk
Unashauriwa kuhama
Ni Sawa na page hii,unaweza kupost mkeka ila Kuna nafsi za watu zinamfundo na mkeka,wakati hata pesa ukishindwa hatoi yeye
Kuna watu mkeka wa mwenzie uki tick,yaani roho inamuuma mnoo Tena mnooo,na humu tumo wengi wenye roho za mfundo kuliko wenye Nia Safi
Na NDIO maana mkeka uki tick ,mfano Pdidy alisema Booooom,basi utakuta mtu mmoja tu NDIO anampingeza, wengine vinyongo
Ila hii haimaniishi ni General Case,ila MUNGU kila mtu kamuumba kwa upepo wake
WAPO WAUNGWANA SANA:-
Hii page ina watu pia WAUNGWANA mnoo on background,kuna watu hawa post chochote Wala ku comment chochote humu ndani,ila wanaingia online kila muda na wanachukua CODES na kucheza mikeka.
Na mie nakumbuka Kuna jamaa niliwahi kupost mkeka Akala mikeka 2 mmoja laki 2 naa na mwingine Moja na Nusu, ilikuwa last year,basi alinifuata Dm akanipongeza bwanaee mkeka wako nilipita nao na nimepata,akataka number nikamtumia akanitumia pesa , nakumbuka was 30,000 kama sikosei
Pia kuna Jamaa humu aliwahi kula mikeka 3 yake mwenyewe,yaaani kaandaa mkeka mwenyewe na ikatiki,basi kwa wale mnaokumbuka jamaa aliomba kila mtu kwenye hii page amtumie number zake Dm ampe Mtaji na mie nilipata na Tena anatumia na anakupoligia sim kama umepata, nakumbuka alituma 2,000 kwa kila mtu kwa siku nzima walioingia, nakumbuka kama alipiga kukaribia milioni vile but was above laki 5.
Sasa ningeomba tu kila mtu Aishi humu kwa upepo wake,ukihisi upepo wa kupost unakuchania mikeka basi amini ni kweli,then ingia tu Ili upigwe Story ila sio kukatisha watu tamaa na ikiwezekana mkeka wako tuliocheza kimya kimya basi uki ticki Kaa kimyaaa.
Then wale Post Masters kina Pdidy, Mtoto wa Nzi kama moto kama katoka jela maana alipotea
Jitu Bandia Mzee wa miripuko ngum kumeza,na wengine wengi Bado ni helpful saaana humu
Wapo wengi wanachukua mikeka yao kimya kimya na wana edit na kula.
AWARENESS:-
Hii page nawaambia through experience ya kuwa JAMII forum for more than 10 years.Before sijaingia Page hii page in past 3 years.
Hii Page ya Betting kuna Wafanyakazi wengi wa Serikali,Kuna Wanajesh wengi mnoo,kuna waliojiajiri wengi sana
Sema wengi Status zao hawawezi ku comment humu kulinda Heshma zao,ila wamo humu na CODEs wanachukua sana ila hawa comment Wala kupost chochote ila wapo wengi mnoo
KWAHIYO Naomba mnaopost mikeka never give up, wengi wanakula kupitia mikeka Yako,na ipo siku baadhi yao wataheshim Kazi na muda wako unaotumia kuchambua Mechi
Samahaninii kwa very long comments,but lengo ni kupeana misimamo na kuheshim hisia za mtu
All the best over this weekend
Stay Blessed
CODEs zimwagike