Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,049
- 10,502
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET
ODDS : 5
CODE: - 5J744X
Tuonane Usiku
ODDS : 5
CODE: - 5J744X
Tuonane Usiku
Marseille kuna mwaka alininyima utajiri manina yeye tu basi nikimwona namchukia an🤣🤣🤣
Kuna timu ya kuitwa KARABANGI (QARABAG)....sitokuja kumshahau..... Nimekaa hivi nasubiri 23M na anaongoza mbili bila ... Mechi ikaisha sare.Marseille kuna mwaka alininyima utajiri manina yeye tu basi nikimwona namchukia an🤣🤣🤣
😂😂😂😂Marseille kuna mwaka alininyima utajiri manina yeye tu basi nikimwona namchukia an🤣🤣🤣
Hao QARABAG aisee Nchi yenyewe maskinI Azerbaijan,Wauza UNGA bin ngada hao, Wana fix matches balaaa haoKuna timu ya kuitwa KARABANGI (QARABAG)....sitokuja kumshahau..... Nimekaa hivi nasubiri 23M na anaongoza mbili bila ... Mechi ikaisha sare.
Team ikifungwa SPORTYBET basi na BETPAWA inakuwa hivyo hivyoWaungwana sportbet na betpawa ipi ina uhafadhali zaidi katika swala la uwekezaji?
Upande wa cash out mda wowoteTeam ikifungwa SPORTYBET basi na BETPAWA inakuwa hivyo hivyo
Sijui unaongelea angle ipi
🤣🤣🤣🤣Mkuu balaaa Mimi ni Marseille na middlesbrough,,tokea siku hiyo ndio tumemalizana ili moyo wangu uridhike siwataki.Kuna timu ya kuitwa KARABANGI (QARABAG)....sitokuja kumshahau..... Nimekaa hivi nasubiri 23M na anaongoza mbili bila ... Mechi ikaisha sare.
Kuna timu ya kuitwa KARABANGI (QARABAG)....sitokuja kumshahau..... Nimekaa hivi nasubiri 23M na anaongoza mbili bila ... Mechi ikaisha sare.
🤣🤣 Alooo basi Mkuu Mimi tokea hiyo siku nikamblack list an hatokei kwenye mkeka wangu kwa option yoyote ile ili niridhike TU😂😂😂😂
Marseille mzima kati alimaliza vibaya mnoo kwa matokeo ya ajabu
Hata Olympic Lyon nae alizinguaga
Nimempa win or Draw kwa vile yupo Home,ila angekuwa Away ningemtoa
🤣🤣🤣 Watu wa dealHao QARABAG aisee Nchi yenyewe maskinI Azerbaijan,Wauza UNGA bin ngada hao, Wana fix matches balaaa hao
KARABANGI hata acheze na kibonde vipi lazima nimlinde na goli🤣🤣🤣🤣Mkuu balaaa Mimi ni Marseille na middlesbrough,,tokea siku hiyo ndio tumemalizana ili moyo wangu uridhike siwataki.
🤣🤣🤣🤣KARABANGI hata acheze na kibonde vipi lazima nimlinde na goli
Unajua hizi Betting Companies kila mtu anakitu anajipendaUpande wa cash out mda wowote
Pia upande wa odds mfano apa arsenal kushinda betpawa ana odds 1.20 ila sport sportbet ana 1.23
Halafu Kuna mshenzi wa kuitwa mijituland (Midtyjland )..... Siku humfuati anapiga watu nyingi sanaaaa....mfuate Sasa ....anakushangaza🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Kazini kwetu kuna vibweka kweli Mkuu 🙌Halafu Kuna mshenzi wa kuitwa mijituland (Midtyjland )..... Siku humfuati anapiga watu nyingi sanaaaa....mfuate Sasa ....anakushangaza
Ndio Mkuu karibu tuendelee tulipoishiaLigi pendwa leo imeanza nikaona niwaibukie wanangu.