Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hiyo haubeti sub kufanyika au kutofanyika.

Unabeti mchezaji wa sub asifunge goli.

Mchezaji yeyote atayeingia uwanjani kutokea sub hatakiwi kufunga goli.

Ikitokea haijafanyika sub kwenye mechi, bet yako inakuwa imeshinda.

Ikitokea sub zimefanyika dakika yeyote ile, halafu wachezaji hao waliongia wakafunga goli basi bet yako inakuwa imechana.

Ila kama hawatafunga goli basi bet yako inashinda.

Hii sio beti ya kubeti sub ifanyike au isifanyike. Hii ni bet yenye outcome ya kushinda au kuchana ikitegemeana kwenye mchezaji atayeingia uwanjani kutokea sub kuomba asifunge goli.

Kwa hiyo dua zako wewe ni kuomba huyo mchezaji aliyeingia kutokea sub asifunge goli.

Mfano mechi ya leo ya Al Nassr dhidi ya Al Riyadh. Ronaldo ameingia dakika ya 61 na kufunga goli dakika ya 83.

Katika mazingira haya ndio bet hii inachana kwasababu tayari Ronaldo amefunga goli akitokea sub.

Ndio maana ya tafsiri ya hiyo bet
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri
 
Mkeka unaoogopa kushea kutokana na option ngumu ndio unatoa
Screenshot_20260821-224858_lilbet.jpg
 
Sub hata isipofanyika haichani mkeka.

Mkeka utachanika pale tu itapotokea mchezaji aliyeingia kutoka sub akafunga goli.

So mechi ikiisha kwa matokeo yeyote haitachana hata kama ni 0-0
Basi hii option ni tamu sana mkuu.
 
Jana hizi option zote na ile ya timu kubwa kushinda 1H yaani Arsenal zilitoa. Je leo Ma u wanaweza!
Screenshot_20260822-092835_lilbet.jpg
 

Kwenye kujaribu hii option.... Zile timu za kushinda kabisa unasema tu yeyote afikeshe goli mbili .... Wakachana hao wawili katika 15.
 
Back
Top Bottom