Odds ngapi hiiView attachment 3654730
Kwenye kujaribu hii option.... Zile timu za kushinda kabisa unasema tu yeyote afikeshe goli mbili .... Wakachana hao wawili katika 15.
Odds ngapi hiiView attachment 3654730
Kwenye kujaribu hii option.... Zile timu za kushinda kabisa unasema tu yeyote afikeshe goli mbili .... Wakachana hao wawili katika 15.
HatariiiView attachment 3654733
Tukajaribu na hii ya ticha ... Kusiwe na penalty Wala kadi nyekundu...
🤣🤣🤣Akaribie Kazini sioDuuuh... Inaonyesha kabisa Hauna uzoefu kazini. Karibu
Kuku mgeni uyoDuuuh... Inaonyesha kabisa Hauna uzoefu kazini. Karibu
Kaka lost odds 56Odds ngapi hii
Mtoto wa nzi tengeneza code ya send off na penalty na sub to score halafu zitupie hapa turuke naza maana mara ya mwisho atletico alitufilisi.
Odds 33 poa poa leta hata 100 tumpasue kanji nina ten hapa haina kazi.View attachment 3654947
Odd 33... Fansport