rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
🤣🤣🤣Ausio tuende nae kiulalo ulaloMaafisa ubashiri mwaka huu KANJI tusipo mrudisha kwao kulima pilipili tuache hii kazi😎
Mkuu,🤣🤣🤣Ausio tuende nae kiulalo ulalo
So far mpaka sasa naona kwenye market, hizi option zinaweza kuwa na probability kubwa ya kutoaNdio Mkuu karibu tuendelee tulipoishia
Pamoja sana mkuu. Tumerejea tena kumuwinda Kanji kila kona. Mechi ya Arsenal weka under 4.5; usiwabeze Coventry.
Kampuni gani hii mkuu?So far mpaka sasa naona kwenye market, hizi option zinaweza kuwa na probability kubwa ya kutoa
1. Sent off No
2. Substitute player to score No
Wazee wa low risk na high stake.
Sportybety niliona hiyo optionKampuni gani hii mkuu?
🤣🤣Mwanga huyu jamaaMkuu,
Kanji alifanya niikimbie ID toka 2015 najitapa nimeishia kutolewa damu maskion KANJI hafai.
Hii ni option ambayo binafsi naiona imekaa poa sana ila haipo kwenye kila mechi.Kampuni gani hii mkuu?
MkuuHii ni option ambayo binafsi naiona imekaa poa sana ila haipo kwenye kila mechi.
Sub mara nyingi zinaanzia dakika ya 60 na mara nyingi wanaoingia wanakuwa hawana class ya juu kuliko wanaotoka.
Na pia inaweza kufanyika sub ya mabeki au viungo wakabaji ambao wasiwe na mchango mkubwa kwenye attacking.
So beti ya aina hii binafsi naiona itakuwa ni salama sana kwenye zile ligi ambazo kwenye market ya 1X2 au magoli zimekuwa na surprise sana kwa wakamaria kama Serie A na zinginezo.
Na option hii uzuri ina odds nyingi, mfano kama hapa chini ni timu 3 na odds ni almost 3.
View attachment 3654477
Mwamba kabisa ....Ligi pendwa leo imeanza nikaona niwaibukie wanangu.
Hii imekaa vizuri mkuu. Je, sub isipofanyika mkeka unachanika?Hii ni option ambayo binafsi naiona imekaa poa sana ila haipo kwenye kila mechi.
Sub mara nyingi zinaanzia dakika ya 60 na mara nyingi wanaoingia wanakuwa hawana class ya juu kuliko wanaotoka.
Na pia inaweza kufanyika sub ya mabeki au viungo wakabaji ambao wasiwe na mchango mkubwa kwenye attacking.
So beti ya aina hii binafsi naiona itakuwa ni salama sana kwenye zile ligi ambazo kwenye market ya 1X2 au magoli zimekuwa na surprise sana kwa wakamaria kama Serie A na zinginezo.
Na option hii uzuri ina odds nyingi, mfano kama hapa chini ni timu 3 na odds ni almost 3.
View attachment 3654477
Sub hata isipofanyika haichani mkeka.Hii imekaa vizuri mkuu. Je, sub isipofanyika mkeka unachanika?
Mkuu
Leo umenipa mbinu mpya .
Kwenye kulipa co zote ni uhakika hawana ubabaishaji. Odds za sportybet zipo juu kidogo ukilinganisha na betpawa. Pia sportybet wana options kibao. I hope nimekujibu muuliza swali. So at the end sportybet inatanguliaTeam ikifungwa SPORTYBET basi na BETPAWA inakuwa hivyo hivyo
Sijui unaongelea angle ipi
Kwamba dk 90 isitokee sub hata moja?Sub hata isipofanyika haichani mkeka.
Mkeka utachanika pale tu itapotokea mchezaji aliyeingia kutoka sub akafunga goli.
So mechi ikiisha kwa matokeo yeyote haitachana hata kama ni 0-0
Mkuu hiyo haubeti sub kufanyika au kutofanyika.Kwamba dk 90 isitokee sub hata moja?