Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Najua hii hawezi kufata mtu tunakimbilia man u yenye odds 1.38 halafu inaruka na sisi. Uzuri wa hii hata ukiliwa haiumi sana maana ulishajitoa mhanga kuanzia mwanzo.
 

5LYR72 odds 12 za sportybet

Iceberg9
Ohh sister nimechelewa hii code nimechelewa kupata notification shukrani sanaπŸ™πŸΌ
 
Ukistaajabi ya Man United utayaona ya Real Madrid

Si tulitaka LEAGUE ianze wenyewe?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maana wengine waliacha kabisa mpaka league ianze daadeki

Kw mpira huu Barcelona anabeba Tena mapemaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…