Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu hapo vfl unachezaga option gan sanasana

Yaan bora mcheze tu kawaida kama mlivyozoea kuliko uko kwenye virtual uko hamna tofaut na zile mbio za mbwa au kernel maana wanachezesha wenyewe kampun ukiweka dau kubwa linamvutia mmiliki kulilamba ilo dau maana ni mech ya dakika mbili tu
 
Vfl haijawahi kuwa upande wangu. Nikakimbia hadi huko iplay.
Meridian here we come
 
Yaan bora mcheze tu kawaida kama mlivyozoea kuliko uko kwenye virtual uko hamna tofaut na zile mbio za mbwa au kernel maana wanachezesha wenyewe kampun ukiweka dau kubwa linamvutia mmiliki kulilamba ilo dau maana ni mech ya dakika mbili tu

Yaani hapa umeongea kitu cha maana sana. Wengi hawajui behind the scene ya hizi dog racing, Keno na Virtual football.
 
Yaani hapa umeongea kitu cha maana sana. Wengi hawajui behind the scene ya hizi dog racing, Keno na Virtual football.

hii noma sana...jana usiku nimejifanya na mimi mjuaji nikaweka dola 0.1! nkkapigwa za uso.....sirudii tena hata iweje
 
Wadau niaje? kwann tusingekuwa tunachambua match hata tano per day wote kwa pamoja tukapata one solution alafu tutakuwa tunacheki kama tumepatia au tumekosa. Ili tuweze kumla kanjibay, umoja ni nguvu wadau
 
Habari zenu wakuu, jana kuna betting strategy flani ivi nilikua naifanyia utafiti...nikaona inafaida ya 5000 na kuendelea kwa game moja..ukiweka gemu tatu kwa siku 15000 au zaidi....yaani wewe tu utakavoamua maana whats needed ni umakini + time yako kama inaruhusu kwakua inahitaji kukokotoa hesabu...kupata faida ni 100%..hakuna loss! ngoja ninywe chai maana si kazi ndogo!!! alafu nimalizie utafiti wangu....kitu kikikubali baadae narudi
 
Wadau niaje? kwann tusingekuwa tunachambua match hata tano per day wote kwa pamoja tukapata one solution alafu tutakuwa tunacheki kama tumepatia au tumekosa. Ili tuweze kumla kanjibay, umoja ni nguvu wadau

dah, mwanangu mpira hautabiriki kabisa...hata tukiwa 100, sio wote watakubaliana na machaguo mlliopendekeza....na katika hao wachache waliokataa hayo machaguo ya mechi wanaweza wakawa sahihi na kumla hiyo kanjibai...hii sio solution kabisa
 
Nimekusoma kiongozi.
 
South africa, Gabon, angola, Ghana, capeverde, senegal.

Timu nne kati ya hizo ama zaidi lazima zishinde.
 
South africa, Gabon, angola, Ghana, capeverde, senegal.

Timu nne kati ya hizo ama zaidi lazima zishinde.

South kwa Nigeria hawezi chomoka, weka GG kua salama na pesa yako, hii ndo maana ya jukwaa hili, kupeana ushauri
 
Nataka nianze na mech za korea za saa sita...ngoja nchambue alafu nitupie mnipe maoni
 
Mpeni DR Congo anacheza na Sierra leon ambaye ndiye mwenyeji lakini kutokana na Ebola kule kwao ikabidi watafute uwanja kwa nchi majirani wote wamegoma kwa kuogopa maambukizi DR Congo akamkubalia kutumia uwanja wa Lubumbashi kama home ground, kwa hiyo yuko nyumbani Lubumbashi akicheza na Congo DRC kama away team.
 
South africa, Gabon, angola, Ghana, capeverde, senegal.

Timu nne kati ya hizo ama zaidi lazima zishinde.

Hapo south, Ghana, uhakika zaidi ila Ila senegal na angola ushindi suluhu tu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…