Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

BAYERN (Bavarians)
MAN CITY
PSG
Al NASR
Al HILLAL
AC MILAN
Al SADD
Al AHLY
SPORTING
Villareal
CSKA Moscow
Al MUHARAC
Legia WARZAWA
KRC Genk
TNS (New Saints)
Coleraine
Cork city
Vikingur
Groningen
Viborg

Hujasteki humo, halafu uliwe!.....then umlaumu nani!?...useme umelogwa na nani?.....ana ulaumu Kuza Cashout Code za JituBandia!?....ShenziZako!
 
Wamejichanganya wenyewe kwa kuniwekea WON Mkeka ambao ni lost, sasa hivi wakaniwekea deni 5999 sasa kosa la nani!
 
Iv kumbe nao huwaga wanakoseaga naomba wakosee kwangu kwenye mikeka yangu ya million 150 watajuta
Hii game walikosea wakaweka win dakika 2 kabla ya mechi kuisha. Wakati penalt ya geita inapigwa tayari washanipa hela. Nikabetia tote nikaacha 4200. Nikatafuta game nyingine mbili za haraka nikabeti inagoma walikiwa wameshasahihisha nikaona deni hilo la 5999.

Ila kuna mkeka upo active nikishinda watakata hela yao
 
Bayern Win
City Win
PSG win

Yeyote asiposhinda hasara kubwa
odds 3.7
 
Mambo ya hovyo sana ...mechi 20 kabaki yeye TU dakika ya 30 Wana Kona 4 ... Wakati nimeomba under 5.5 aseee...,.. yaani isipatikane kona dakika 15 nzima ...sio kweli huu nimepoteza ....
 

Attachments

  • screen-20260828-225950.mp4
    19.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…