Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unazingua sasa, piga hela mwenyewe mzee mbona unatumia nguvu kubwa hivyo!? Tangaza platform yako kistaarabu, ukipost mara moja au mbili inatosha. Hiki unachofanya ni USHAMBA, badala ya kuvutia watu ndo unaharibu kabisa maana unaonekana HUJITAMBUI.
Huyu ni wa ku report ale ban, anatutoa kwenye concentration, kama anataka kufanya matangazo aandae uzi wake
 
Hii kazi yetu tuna maaduni wengi sana. Kuna lichezaji la Club Bruge limekula umeme kwa uzembe sana, yaani unamsukumaje mchezaji mwenzako kwa nguvu kisa amekusukuma kwa bahati mbaya. anatucost sasa na mikekea yetu
Hao pia ni wenzetu

Matukio mengi ya uwanjani wao wanayafanya yaendane na slip zao.
 
Screenshot_20260830-200043.png
 
Kwa waliobeti Game ya Madrid matokeo ya ushindi kupitia Sportybet mnaweza kutupa status ya bet yenu?
 
Back
Top Bottom