Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SPORTYBET Leo wame kuaje ?
Mkeka wangu odds 90 ulichanwa na timu 1 (void)ambayo baadae nakuja kuangalia nimekuta mkeka umekua void mechi nne japo options nilizo weka zime toa mf. real M ov 2.5
Mkeka ume lipwa kwa odds 30 nime withdraw pesa yote kama nitakuta -Ve balance watajua wenyewe.
 
Hatari sana. Leo game nyingi zimetoa magoli

Mkuu Madrid na Viking kwangu zimekuwa void wahuni tu hawa sportybet

SPORTYBET Leo wame kuaje ?
Mkeka wangu odds 90 ulichanwa na timu 1 (void)ambayo baadae nakuja kuangalia nimekuta mkeka umekua void mechi nne japo options nilizo weka zime toa mf. real M ov 2.5
Mkeka ume lipwa kwa odds 30 nime withdraw pesa yote kama nitakuta -Ve balance watajua wenyewe.
Hadi Nigeria nilijua ni bongo tu
 
Sportybet wamekata hela kwenye akaunti. Itakua wamekutana na kitu kizito
Mechi nyingi wameandika void.
Jana wengi tumekula opt ya magoli.
Direct win ilichana mikeka ila hizi ova ova jana zimetoa karibia kila mechi
 
Ukiweka hela ndogo mkeka unatoa weka kubwa sasa daah
Kwanza ukishapanga kuweka hela kubwa na ipo kwenye akaunti kama sio mambo yako ndio palepale unaathirika kisaikolojia. Unatafuta mechi moja tu yenye odds angalau 1.4 lakini unakosa katika mamia ya mechi na kuangukia kwenye lost.
 
Betting nimekaa pembeni muda mrefu sana. Kwa sasa najipanga kwanza, lakini siku nikirudi nitakuwa nimerudi na nidhamu na mtaji wa pesa ya ziada—si kwa papara wala kufukuza losses. 🔥⚽

Wakongwe wa huu mchezo, bado mpo? 😄
Kama umefanikiwa kukaa pembeni kwa muda mrefu ni heri usirudi tena. Kaa mbali na uzi maana hii kazi siyo kabisa. Wengine wanatamani kuacha hata kwa muda mfupi wanashindwa.
 
Ni kweli kabisa mkuu, maneno yako yana ukweli mkubwa. Wapo wanaotamani kupata hata siku chache za kupumzika lakini wanashindwa kutokana na mazoea na mazingira. Mimi nimechukua ushauri wako kwa uzito—cha muhimu ni kuendelea kujijenga na kutafuta njia bora zaidi za maisha. Asante sana kwa ushauri wako 🙏
 
Attachments

  • Screenshot_20260831-102916.png
    Screenshot_20260831-102916.png
    145.7 KB · Views: 16
Back
Top Bottom