Halafu wanasema Vijana wakalime ... Wapi Kuna shamba la mia5.!!!... Mbegu,viuwadudu...Jero umetoa 200K.
Safiiiii
Mkuu tatizo la jana sportybet la mechi kuwa void lilikupata?Hao washenzi .... Mkeka wangu wa mechi 27 timu yeyote ifunge goli mbili akachana wameishia 1-1 peke Yao shenzi sana hawa...
Kuna hii nyingine Tena ilitoa kimasihara tuHalafu wanasema Vijana wakalime ... Kuna shamba la mia5.... Mbegu,viuwadudu...
Ile ni changamoto ya mfumo ni kote...Mkuu tatizo la jana sportybet la mechi kuwa void lilikupata?
Dah alooo wamekata parefu sana hawa jamaaIle ni changamoto ya mfumo ni kote...
Jana nimesuka odds 18, nikaweka Hela ya fungi la nyanya nikachukua😂Ukiweka hela ndogo mkeka unatoa weka kubwa sasa daah
Kampuni yenyewe HELABET ujue HELA ni zaoJamani Hela zangu zimeng'ang'ania Helabet, Kuna tatizo la kimtandao Leo, ama?
Kwa kweli Kona Kona nyingi sana hizi kampuni za kirusiKampuni yenyewe HELABET ujue HELA ni zao
Mpaka waziwangieeeee NDIO waziachie
Ngoja wadau wa HELABET waje
WEka uoneMsisahau arsenal leo ni GG and 2.5 goals
Hawa kiboko yao mimiKwa kweli Kona Kona nyingi sana hizi kampuni za kirusi
Helabet muda wa kutoa hela ni usiku wa manane.Kampuni yenyewe HELABET ujue HELA ni zao
Mpaka waziwangieeeee NDIO waziachie
Ngoja wadau wa HELABET waje
😂😂😂WEka uone
Kwanini wanakua hivyo? Mimi niliwapiga Leon 2.7m kutoa hela ilikua mishemishe. Nilifanikisha nikaachana naoHelabet muda wa kutoa hela ni usiku wa manane.
Daylight utaomba poooo.
Kama ana mshindo wa maana atoe kuanzia saa 8 usiku hadi saa 10 alfajiri