Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

I think atakuwa anafeli kwenye uchaguzi wa ligi

Uwez kukosa odds mbili kwa EPL kwa kuweka kona, shots over,

Uwez kukosa odds mbili Spain kwa kuweka faulo

Yan me sielewi mtu anakosaje odds mbili
Sidhani mkuu, labda kwa kutusaidia unaweza kutuwekea adds 2 kwa siku 5 mfulilizo tuka boom mkuu.
Fanya hivyo kuanzia kesho tupe ofa odd 2 tu
 
To me mtu akipiga odds zaidi ya kumi hapo sawa ila sio odds mbili,

Unakosaje odds mbili ? Weka kona weka faulo, weka shot over Yan odds mbili huwez kukosa
Mkuu unaongea kwa urahisi hivi!! Upo seriously kweli na hii game 🤣🤣 watu wangekuwa matajiri au mwenzetu tajiri,,an odds mbili unaweza kupigwa kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…