Lopsided_Truth
JF-Expert Member
- Jun 12, 2026
- 250
- 939
Huyu kama siyo plate number F basi G..Mkuu unaongea kwa urahisi hivi!! Upo seriously kweli na hii game 🤣🤣 watu wangekuwa matajiri au mwenzetu tajiri,,an odds mbili unaweza kupigwa kama kawaida
Hakuna kuchana kama asemavyo weka figo 🤣🤣🤣 dah jau sanaVizuri sana ngoja nianze kuchukua codes zako nione trend itakavyokua.
Balaaa Mkuu mtu unajaribu roll over ya odds 1.50 haumalizi hata week,na ukimaliza unashukuru balaa yeye anasema odds mbili haichani so tungekuwa matajiri dah huyu jamaa jau sana.Huyu kama siyo plate number F basi G..
Kitu anachokiongea kwa wenye plate number A chafu wala haki-make sense
🤣🤣Nimemshangaa na alivo na confidence an anashangazaWatu tushatafuta odds 1.5 na tukakosa 😂.
Haelewi anaongea Nini huyu
Odds mbili kaenda mbali sana. Roll over ya 1.3 ishanichafua vibaya sanaBalaaa Mkuu mtu unajaribu roll over ya odds 1.50 haumalizi hata week,na ukimaliza unashukuru balaa yeye anasema odds mbili haichani so tungekuwa matajiri dah huyu jamaa jau sana.
Jamaa anachekesha sana hata angekuwa ndugu yangu🤣🤣Nimemshangaa na alivo na confidence an anashangaza
🤣🤣🤣Inakuchakaza mpaka unapagawa hakuna odds isiyochana hata hizo,, option anazosema zinachana sana tu,, kuna mda nilijikita na fouls, throw in,card,na corner nilibondwa kama ngoma nikabaki kichwa tu,,jamaa namba G huyuOdds mbili kaenda mbali sana. Roll over ya 1.3 ishanichafua vibaya sana
Aloo vituko sanaJamaa anachekesha sana hata angekuwa ndugu yangu
Tulia mkuu , mwamba ameshaweka odds 2 hapo juu.🤣🤣Mkuu mbona unamfanyia hivo ninecheka kweli,,namba F huyo hamjui kanji vizuri
Odds mbili unapigika fresh tu Tena asubuhi kabisa.Mkuu unaongea kwa urahisi hivi!! Upo seriously kweli na hii game 🤣🤣 watu wangekuwa matajiri au mwenzetu tajiri,,an odds mbili unaweza kupigwa kama kawaida
🤣🤣 Haina noma ngoja tuwe matajiri sasa tumechapika sanaTulia mkuu , mwamba ameshaweka odds 2 hapo juu.
Kuhusu usajiri kama ni namba f au e tutajadili badae🫡
Narudia kukuuliza, unamjua kanji vizuri dogo???Uwage na heshima, hapa sio Facebook
Kuna mpango niliweka odds 1.50 Kila siku, siku ya kwanza mpaka ya 5 zikakubali, siku ya 6 na 7 kipigo kama kawaida na mbinu ni ilele iliyotumika kwenye siku ya 1 mpaka ya 5.Watu tushatafuta odds 1.5 na tukakosa 😂.
Haelewi anaongea Nini huyu
Narudia kukuuliza, unamjua kanji vizuri dogo???
Utakua humjui ndo maana unasema huezi kukosa odds 2 kwa siku
🤣🤣Turuke nazo mazima mkuu 🙌Odds nane za OFI CRETE mtasema hamzioni
🤣🤣Turuke nazo mazima mkuu 🙌
Usibishane mkuu umesha weka odds mbili watu tumeshazichukua kama zilivyo tumeweka mzigo kwa ajili ya ushindiNimeanza kubet kwenye makaratasi kabla online hazijaanza, eeh una swali lingine?
Huyo Kanji inategemea unabet options gani? Kwamb man city vs Norwich dakika 90 hamna kona Hamna faulo, hamna shot over?
Madrid anakosaje offside? Barcelona anakosaje kona? Getafe anafungaje goli 5+?
Yan me sielewi odds mbili unakosaje
Unless unacheza 1 X 2 hapo sawa
Ok mimi nishaanza kuchukua codes zako leo na nimestake tayari........timu ya kwanza ipo live so ngoja tuone trend itaendaje.Nimeanza kubet kwenye makaratasi kabla online hazijaanza, eeh una swali lingine?
Huyo Kanji inategemea unabet options gani? Kwamb man city vs Norwich dakika 90 hamna kona Hamna faulo, hamna shot over?
Madrid anakosaje offside? Barcelona anakosaje kona? Getafe anafungaje goli 5+?
Yan me sielewi odds mbili unakosaje
Unless unacheza 1 X 2 hapo sawa