Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ingekuwa league matches...ningekushauri kitu

Lakini kwa timu za taifa...no! Sitaki kushiriki hiyo dhambi ya kupoteza pesa ya mtu!

Stake at your own risk!.
National teams hazitabirikagi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bora umesema ya moyoni thanks mkuu huu pia ni ushauri mzuri
 
Hizi ndizo chungu na tamu za kubet Basketball, kikapu kimoja tu kinaweza kukupa au kukunyima hela kama ivo yan
 
Mwendo sh 100

6XZEBC
 

Attachments

  • Screenshot_20261004-152738_SportyBet.jpg
    72.2 KB · Views: 11
Tuendelee kumtafuta kanji kwa pesa ndogo hadi kieleweke...POSITIVE EDIT NI MUHIMU

5KNXSF
 

Attachments

  • Screenshot_20261004-211043_SportyBet.jpg
    71.1 KB · Views: 10
Reactions: Ser
Mechi ya Ireland Vs Israel mhindi wa sportybet alikuwa anatafuta hela ya wakamaria kwa nguvu sio hiari tena. Alianza na over 2 wakati bookie wengine mpka over 0.5 ilikuwepo na matokeo yake imetoka 1-1
 
Nimechelewa kuona

Uliwin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…