Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah pole sana bwashee hii notification ndo naichungulia Germany ndo kaangusha hapo
 
WEKAMZIGO WAMAANA
KIZURI KULA NA NDUGUYO
 

Attachments

  • IMG-20261005-WA0015.jpg
    72.2 KB · Views: 12
WAKUU
HIVI
1WIN WAPO TANZANIA
KUNA MWAMBA WA KENYA ANALIPUKA NA ODDS ZA MAANA NA ANAWAGONGA SEMA ANALETA CODE ZA 1 WIN
lWF0Qw0a

Mwenye kuweka hii sportybet atuletee
 
Dah pole sana bwashee hii notification ndo naichungulia Germany ndo kaangusha hapo
Hakuna shida mkuu na mimi nilizembea tu cashout ilifika 127k zikabaki hizo game german goli lilokataliwa sio bahati haikua dahπŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄
 
Kila nikiwa na stake ndogo odds kubwa mara nyingi hutoa ila sasa siku nikipanga kuweka odds modo stake bwanga katika game 20 nakosa mpaka odds mbili
 
U mean weekend? Ila bado pabovu bado mech za kirafiki ni nadra sana kutoa za kimataifa pia ndiyo zimeninyima donge nono
Unaiona hii iliniachia trauma kabisa
U mean weekend? Ila bado pabovu bado mech za kirafiki ni nadra sana kutoa za kimataifa pia ndiyo zimeninyima donge nono
 

Attachments

  • Screenshot_20260929_180650_Chrome.jpg
    100.7 KB · Views: 10
Hili dude kanji analikwamisha... huwa nikifanya edit kali ..basi lazima kanji afanye fingisu

60Z96P

Du limekubali
 

Attachments

  • Screenshot_20261005-151407_SportyBet.jpg
    70.6 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…