Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 864
- 914
Yeye ameona simba kapewa odds chache, anahisi atashindaAna mapenzi na Simba? Au 50,000 ana bet ili apate pesa?
Kama ni mapenzi na Simba mwambie aweke lakini kama anataka hio fifty iongezeke atafute odds nyingine
2.45 ni chache mkuu?? Dortmund kapewa 1.34 na Bado kashindwa kushinda.Yeye ameona simba kapewa odds chache, anahisi atashinda
Ndugu wazee wa mikeka, hawa Borusia Dortmund ni takatakaNilimpa Borusia na dakika ya 80 na kitu nimeacha anaongoza 2:0View attachment 3687714
2UP inasaidia sana hasa kwenye situations za aina hii.Ndugu wazee wa mikeka, hawa Borusia Dortmund ni takataka
Hiyo pesa kuwa ya harusi ni tatizo tayari, kama anazitamani odds za simba ili ku-double pesa yake bora azitafute kwa kuunganisha mechi nyingine kabisa mbili au tatu kisha aweke hiyo hela ingawa anajiweka kwenye hatari pia kwa sababu zinaongezeka.Wazee kuna mdau ana 50,000 anataka ampe simba anashida mazima, mnamshauri vipi,pesa inabidi atoe ya harusi.
Pesa unatoa bila shida mimi nimewahi kutoa hadi 180k .. ukiweka withdrawal request ndani ya nusu saa tu pesa inaingia. Changamoto ni kwenye kuweka inatokea mara mojamoja sana ukideposit hela inaweza isiingie kwenye account yako hadi kesho yake lakini pesa lazima iingie!Hivi Paripesa hela haisumbui kutoa hela Kwa hizi mobile payments?
Simba kutoboa itakuwa ngum sanaMnyama kapewa odd 3???????????
Hii sasa dharau,namfuata mazima na 50k
NB; Nimebeti kama mshabiki lialia
SPORTYBETMnyama kapewa odd 3???????????
Hii sasa dharau,namfuata mazima na 50k
NB; Nimebeti kama mshabiki lialia wa Mnyama
Zilikuwa odds 3 kwa 1xbet sasa zimefika 2.58 ila watakuwa wameona watu wanajilipua wanaweka hela inabidi washushe ili kubalansi vitabuSPORTYBET
Simba @2.45
Yanga @2.80
Huko kwenye tatu ni wapi tuhamie?
Labda kipindi Cha pili ...Huyu arsenal leo vp
Labda kipindi Cha pili ...na Leeds hawezi kutoboa
👍Zilikuwa odds 3 kwa 1xbet sasa zimefika 2.58 ila watakuwa wameona watu wanajilipua wanaweka hela inabidi washushe ili kubalansi vitabu