Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,514
- 4,531
Swali linakuja kwanini tunashindwa kumfuata Venezia ana odds nyingi na tunamfuata Napoli? Tena Bila uoga.Match fixing za kutosha...Nimefanya research kwa zaidi ya miaka 4 kuangalia options ambazo zinaweza kuwin consistently sijazipata...mbinu zote za kihesabu kama poison distribution,logistic regression,black scholes analogs model zote zimefeli.
Bookies wanafurahi sana kwasababu odds zao zinapangwa kuwanufaisha wao,wanahakikisha wana high mathematical edges.
Betting ni unfair game..ni sawa na bondia wa heavyweight apigane na bondia wa light weight
unabeti kihisia kuangalia majina ya timu n nafasi zao katika msimamo ila huangalii strength ya timu ikiwa nyumbani na true mathematical edges uliyonayo dhidi ya odds za bookie. Data driven betting ndio angalau inaweza kukupa advantage dhidi ya booke, nje ya hapo huwa ni hasaraSwali linakuja kwanini tunashindwa kumfuata Venezia ana odds nyingi na tunamfuata Napoli? Tena Bila uoga.
Siku ukitaka kufuata winning teams akili inakua nzito haswa na mwisho unaacha baadae matokeo yanatoka vizuri.
Ila siku ukiweka pesa na kuna muda akili inagoma ila unakuta ushamtia Napoli .
Team uliyoiacha ukaikataa inashinda na uliyoichukua inayochoma vice versa
Matreni matatu niliyo post hapa jf yana kwenda kumtoa damu kanji moja bado mechi moja tu ...kanji ajaweka hatavcash out inaelekea CODE niliyo tuma imechezwa nq watu wengiLeo kanji amepata sana
Wewe usiyebeti kihisia... Kwanza ncheke... Ni mwehu ... Kila market (chaguo) ni hisia...ubashiri, taraji,enendo hitaji lako, Mungu huyohuyo unaye kuomba under 2.5 wengine wanamuomba over .. msituchoshe...unabeti kihisia kuangalia majina ya timu n nafasi zao katika msimamo ila huangalii strength ya timu ikiwa nyumbani na true mathematical edges uliyonayo dhidi ya odds za bookie. Data driven betting ndio angalau inaweza kukupa advantage dhidi ya booke, nje ya hapo huwa ni hasara
odds ni hesabu zile...mfumo uliosukwa kwa hali ya juu...ili ku bypass lazima uwe sharp bettor uangalie loopholes zinazotokana na miscalculations za bookies katika odds zake.Swali linakuja kwanini tunashindwa kumfuata Venezia ana odds nyingi na tunamfuata Napoli? Tena Bila uoga.
mimi sio mbetiji ila nafanya analysis ya odds tu..sipo kutafuta ligiWewe usiyebeti kihisia... Kwanza ncheke... Ni mwehu ... Kila market (chaguo) ni hisia...ubashiri, taraji,enendo hitaji lako, Mungu huyohuyo unaye kuomba under 2.5 wengine wanamuomba over .. msituchoshe...
Naomba uwe huyo Sharp 🪒 better...unayeleta upuuzi kwa wapuuzi... Sio lazima utuonyeshe ujinga wako kwa lazima hivi...odds ni hesabu zile...mfumo uliosukwa kwa hali ya juu...ili ku bypass lazima uwe sharp bettor uangalie loopholes zinazotokana na miscalculations za bookies katika odds zake.
katomb*e hukoNaomba uwe huyo Sharp 🪒 better...unayeleta upuuzi kwa wapuuzi... Sio lazima utuonyeshe ujinga wako kwa lazima hivi...
Maumivu yakizidi muone Daktari...mimi sio mbetiji ila nafanya analysis ya odds tu..sipo kutafuta ligi
Hauna jipya Mama.katomb*e huko
acha matusikatomb*e huko
Betting usenge ukiweka dau dogo unapata hela tena odds hata 100 unakula.
Uki stake mpunga mnene mkeka unachanika.
Wala hujakosea mkuu hata mimi huu mkeka nilichukua code,lakini mwanzo mwanzo ulichanika mara mbili na kauribet na hapa kama unavyosema bado timu hata huku kwanguMatreni matatu niliyo post hapa jf yana kwenda kumtoa damu kanji moja bado mechi moja tu ...kanji ajaweka hatavcash out inaelekea CODE niliyo tuma imechezwa nq watu wengi
Wala hujakosea mkuu hata mimi huu mkeka nilichukua code,lakini mwanzo mwanzo ulichanika mara mbili na kauribet na hapa kama unavyosema bado timu hata huku kwangu
tupieni basi code za leo...mimi naishi humu kwenye hizi odds 40Hii siyo rebet..nikweli usemavyo niliyo post mwanzo ilichanika ila HAYA NI EDIT NILIPOST CODE ZIPO HAPA JUKWAANI ..HAYA MATRENI YOTE MATATU NI EDIT NILIYO POST SIYO REBET