Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

yesu wako naye akicheza kamari au ndio Roho Mtakatifu wa kanisa lako ndiko anakokuongoza huko , kucheza kamari ??
Dini ya kweli ya Mungu ni kuishi kwa haki ... kwani nikicheza michezo ya kubahatisha kama hii beti iliyo ya haki kuna shida gani ‽

Kamari haramu ni kamari yoyote ambayo mchezeshaji anafanya dhuruma au mchezaji ...
 
Yesu wako alikuwa akibet na mafarisayo wake?
 
Hyo ni sawa na No
View attachment 3693948
mwenye kujua maana ya hii option anifafanulie maana imeondoka na pesa yangu nyingi sana
View attachment 3693949
View attachment 3693948
mwenye kujua maana ya hii option anifafanulie maana imeondoka na pesa yangu nyingi sana
View attachment 3693949

Hapo umekosa kwa sababu matokeo ya 1:2 yametoa GG (timu zote zimefunga) na jumla ya magoli ni matatu
Hiyo 2+ ilimaanisha soko la pamoja (kama vile GG na Over 2.5). Matokeo ya 1:2 yamekamilisha masharti yote ya upande wa YES ( kama ungeweka yes) .timu zote zimefunga na magoli yamezidi mawili). Kwa kuwa wewe uliweka NO, ulitaka mechi iishe bila timu zote mbili kufungana au kusiwe na magoli mengi
 
angalia vizuri nimepick "Yes" outcome imekuja "No"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…