Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,514
- 4,531
Hapo ni GG na Kila team ipate goals 2 nakuendelea , option ya gg imetoa lakini Kila team haijapata goal 2View attachment 3693948
mwenye kujua maana ya hii option anifafanulie maana imeondoka na pesa yangu nyingi sana
View attachment 3693949
Sio poa badili options mkuu na punguza teamsJana na leo kanipuna 280k
apo nmekupata kias kwamba zingetoa 2:2 ndo zingetiki sio?Hapo ni GG na Kila team ipate goals 2 nakuendelea , option ya gg imetoa lakini Kila team haijapata goal 2
Yeah Iko hivyo mkuuapo nmekupata kias kwamba zingetoa 2:2 ndo zingetiki sio?
Leo nahitaji odds nne tu umizeni vichwa hapo
Huyo Mwarabu hapo anatia shakaView attachment 3694123
Nimemwambia chatgpt ...naomba odds 3. Kanipa hizi .... Hapo vipi wawekezaji..tumfuate.