weka code
ALSQWZ7weka code
Muhammad ana shetani?Wagalatia 6:7 inasema: “Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.”
Kushinda kamari si uthibitisho kwamba Mungu yuko upande wako.
1 Timotheo 6:10 inatuonya kuhusu upendo wa fedha. Nilipokushauri, sikutaka ushindwe, bali ufikirie kiroho na ujilinde na tamaa ya mali.
Mkristo wa kweli hujibu hoja kwa Neno la Mungu, si kwa dhihaka.
Mungu akujalie hekima ya kulitafakari Neno lake.
Kanji anabutua ile mbayaKijiwe kimepoa
Code ya sportbet mkuu