Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Wadau hv ile dakika (-27) ni ku limit magoli yapatikane ndani ya hzo dakika pekee ama?,pia vp timu zikiendelea kupata magoli zaidi ya hyo dakika unakuwa umekula ama?.
Eg.nime bet ndani ya hi dakika (-27) bao liwe limepatikana ,mengne yakifungwa baada ya hzo dakika kumalizika nakuwa nimekula ama?
hapo goli moja au zaidi linatakiwa lifungwe ndani ya izo dakika 27, zikipita dakika izo bado wajafungana na wakaja kufungana badae imekula kwako
Waliwafunga nigeria kwa sababu kulikuwa na mgogoro wa soka nigeria
vp kama wamefungana ndani ya hzo dakika alafu goli zngne zkapatikana baada ya dakika hzo unakuwa umekula ama?
Wadau naombeni match tatu za uhakika kama mtu anazo niyupe mpunga wa maana
Hii cameroun mpya ni hatari. Imeua tembo huko
tukutane jumamosi jamani
Asee kabaki algeria......ghana fresh...senegal fresh...betis fresh...barnet ana mbili bila........ Algeriaaaaa uwiiiiiiiiiii pesa yangu.........
10000..... 151,000/=.....