Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

cameroon vs Ivory Coast......... GG

Cape Verde VS Zambia.............. cape verde

lesotho vs Gabon......................... Gabon

Congo vs Sudan........................... Congo

Egypt vs Tunisia...........................Egypt

South Africa vs NIgeria................ GG

Weka 30,000 inakuja 839,946........ tukutane badae.... trust me guys.... ata Uganda anashinda leo, sema sijamuweka ttu
 
Wadau hv ile dakika (-27) ni ku limit magoli yapatikane ndani ya hzo dakika pekee ama?,pia vp timu zikiendelea kupata magoli zaidi ya hyo dakika unakuwa umekula ama?.
Eg.nime bet ndani ya hi dakika (-27) bao liwe limepatikana ,mengne yakifungwa baada ya hzo dakika kumalizika nakuwa nimekula ama?
 
hapo goli moja au zaidi linatakiwa lifungwe ndani ya izo dakika 27, zikipita dakika izo bado wajafungana na wakaja kufungana badae imekula kwako
 
hapo goli moja au zaidi linatakiwa lifungwe ndani ya izo dakika 27, zikipita dakika izo bado wajafungana na wakaja kufungana badae imekula kwako

vp kama wamefungana ndani ya hzo dakika alafu goli zngne zkapatikana baada ya dakika hzo unakuwa umekula ama?
 
Wadau naombeni match tatu za uhakika kama mtu anazo niyupe mpunga wa maana
 
Kuna m2 alitabiri vizuri hapa mtanange wa congo kinshasa na siera leone.. Uwepo wa ebola umeiathiri siera leone
 
pole sana kaka...... uliweka shilling ngapi za kitanzania?

Niliweka 100,000/= lakini recovery mode is succesfully

meridian.PNG
 
Asee kabaki algeria......ghana fresh...senegal fresh...betis fresh...barnet ana mbili bila........ Algeriaaaaa uwiiiiiiiiiii pesa yangu.........
 
Leo naona kijiwe kimekauka. Hakuna mechi za kueleweka. Pia mechi za mapema hakuna.
 
Back
Top Bottom