Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna game inaanza saa kumi ya under 16 naona Iran wako vizuri mnaweza mkattupia mpunga mrefu hapo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Basketball Tips saa 4 usiku
USA v Lithuana
Over 172.5 points @ 2.15
Over 168.5 points @ 1.70

Mie naweka mzigo kwa over 168.5 odd 1.70
 
Basketball Tips saa 4 usiku
USA v Lithuana
Over 172.5 points @ 2.15
Over 168.5 points @ 1.70

Mie naweka mzigo kwa over 168.5 odd 1.70

hiyo over 168.5 ni ktk game zima au upande 1? Halafu odds za kila tim zikoje. Tujuze tupate mzuka
 
Karibuni tuinvest katika soko la hisa la betting... Iwe meridian,m-bet,ladbrokerz, iplay8casino n.k.

Mkuu kuna maswali humu huulizwa mara kwa mara kwanini usiyakopi yakawa juu ili kupunguza usumbufu. Make mtu anauliza swali halafu anaambiwa asome kuanzia page no 1 du kupitia pages mia ushee c kaz rahisi.
 
haaa haaaa haaaa...... skuli kulikuwa na mtoto wa paka...mtoto wa mbwa....mtoto wa bata.... mimi kwa kuwa mswahili sana ... maneno mengi .....shombo mwnzo mwisho .....nkaitwa MTOTO WA NZI.......mpaka kesho ndio a.k.a.....

Af nlitaka niseme avatar nkasema id, ila id avatar vyote ni baraaaa, hahahaaa😀😀😀
 
Mkuu kuna maswali humu huulizwa mara kwa mara kwanini usiyakopi yakawa juu ili kupunguza usumbufu. Make mtu anauliza swali halafu anaambiwa asome kuanzia page no 1 du kupitia pages mia ushee c kaz rahisi.

Kweli mkuu Blac kid umeongea point itabidi aliyeweka hii thread Rockcity native aanze ku edit yale maswali yanayoulizwa mara kwa mara humu ndani kama akiwa free.
 
Last edited by a moderator:
Niaje wadau msada jinsi ya kubet meridian
(a-z) mana kila nikisubmit wanaleta tiket nikipiga ok! Inarudi tena tiketi! Yaaan daaaa! Nakosa mpunga iv! Iv! Nawaombeni sana
 
Mkuu kuna maswali humu huulizwa mara kwa mara kwanini usiyakopi yakawa juu ili kupunguza usumbufu. Make mtu anauliza swali halafu anaambiwa asome kuanzia page no 1 du kupitia pages mia ushee c kaz rahisi.

kweli kabisa ntafanyia kazi iyo kitu
 
hapo nimekupata mkuu, naona umejilipua tayari

Tayari nataka kujilipua jihadi nyingine tena kati ya LUGO NA ARCORCON ya COPA DEL REY SPAIN odds ni 2.30 game ni saa 4 usiku yani zikianza najifunika shuka nalala.

Gud Luck

Natoa away win- yani ARCORCON
 
Niaje wadau msada jinsi ya kubet meridian
(a-z) mana kila nikisubmit wanaleta tiket nikipiga ok! Inarudi tena tiketi! Yaaan daaaa! Nakosa mpunga iv! Iv! Nawaombeni sana

Inamaana ukiweka kiasi cha pesa na kupiga okey balance haipungui?
 
Wakuu vp hizi option za yellow and red cards? Naona odd zao ni nzuri zaidi ya 1.5
 
Nipo majaribioni kwa mechi 21 hadi next wiki kwa jero tu basi. Baadae nitaweka timu tano kwa buku 5... Tamaa mbaya kati ya mechi hizo 21 na moja wapo anaweza chana chana mkeka wote
 
Attachments

  • 1410458027395.jpg
    66 KB · Views: 87
1x wa nyumbani ashinde au draw 2x wa ugenini ashinde au draw na 12 wafungane iki draw imekula kwako

asante kwa kunipa shule mkuu. maana huu mkeka ulikuwa unanipa taabu sana, ngoja jmosi nije nikapige hela kwa mhindi
 
Nipo majaribioni kwa mechi 21 hadi next wiki kwa jero tu basi. Baadae nitaweka timu tano kwa buku 5... Tamaa mbaya kati ya mechi hizo 21 na moja wapo anaweza chana chana mkeka wote

vipi redcard huiweki. Yani kuibetia kuikataa red
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…