Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi siku zote naogopa GG, NG, over, under, red card na yellow. Mie huwa natoa win tu basi

Yani sahizi nidandia basi hapa sijui ni timu gani zinacheza nimekua moja inaongoza dk ya 69 na odds ni 1.48 nikaipa bila woga yani nahisi nimechanganyikiwa baada ya kupigwa.

Sahizi dk ya 90 naomba mpira uishe nirudishe hata nusu ya hela niliyoweka leo.
 
Ndugu nilijua umelala, ungeamka na hasira za kufa mtu kesho..

Yani kuna katimu nasubiri mpira uishe hapa halafu naona hauishi yani kamefunga goli moja, kakishinda nina kama elfu 48 nimekakuta kwenye live play.

Na hasira mbaya na lithuania yani alikua anakosa vikapu kijinga
 
Kwisha habari yangu na hako katimu kenyewe goli limerudi dk ya 90.. hahahahahahahaha
 
Kwisha habari yangu na hako katimu kenyewe goli limerudi dk ya 90.. hahahahahahahaha


Basket niliwahi cheza mara moja na sijui kama nitarudia

Mkuu pole sana.
Leo kuna Monaco ana 3 points. Huyu leo anashinda mie nampa laki afu nalala ili nisije sikia maumivu


Nadhani siku ya jana wahindi wamefurahi sana
 
kama kawa ..... tuumizane vichwa nani wa kumtoa kati ya hawa..... wabaki wa5....
 

Attachments

  • 2014-09-12--08_59_15.jpg
    30.5 KB · Views: 115
Wadau set ya halftime/fulltime ndo ikoje wadau kwenye premierbet
 
Wadau set ya halftime/fulltime ndo ikoje wadau kwenye premierbet

Hf/ft unatabiri matokeo ya kipindi cha kwanza na cha pili....mfano x/1 inamaanisha kipindi cha kwanza watatoka draw afu kipindi cha pili wa nyumban ashinde
 
Hf/ft unatabiri matokeo ya kipindi cha kwanza na cha pili....mfano x/1 inamaanisha kipindi cha kwanza watatoka draw afu kipindi cha pili wa nyumban ashinde

Ukiweka 1 kwa wanyumbani ashinde vipindi vyote au
 
Wadau mbinu za kubet ziko nying sana sema tu kinachowaponza wengi hapa jukwaani ni tamaa ya kula kingi kisichoendana na kile wanachoweka

hivi ukiweka mechi moja kwa option yenye point labda 1.5 ukaweka laki ukala 150000 unadhani ni faida ndogo?

Tubadilike kupata raha ya mchezo huu vinginevyo kilio hakitaisha
 




Game zenyewe zipo kama za VFL tu me sioni tofauti, nimetupia sana match moja za maana na bado mpunga jamaa wanauchukua tu.
 

Jana wahindi wamefurahi sana ila leo nimeamia iplay8 sababu ndo nina balance, sitaki kufund tena account yangu ya meridian kwa sasa sababu nadaiwa laki 2 ili nirudishe mtaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…