Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau kuna mtu mmoja kaniabia ligi nyingi za uingereza kipindi cha pili goli moja kupitikana % yake kubwa hata cha kwanza yeye anatumia iyo options anapata mpunga daily. Kama inafaa cheki nayo
 
Leo kuna nini humu??? kumepooza sana aisee kama sio jumamosi vile...
 
Jamani m-bet mbona hawajanirushia mpunga wangu? Daaaa! Inawezekana wamesha fulia nini?

hata mimitoka jana hadi leo na namba yao haipatikani wakati nategemea mtaji wa leo, meridian nayo naona inanidengulia tu hapa
 
hata mimitoka jana hadi leo na namba yao haipatikani wakati nategemea mtaji wa leo, meridian nayo naona inanidengulia tu hapa

0762768500
0758833333
namba ndo hizo? hawapo hewani kweli. isijekuwa ni utapeli mwingine unanyemelea pesa za watu.
 
Haya leo ndo leo wadau ukiliwa leo ujue una gundu ila tukumbuke tarehe 18 kuna europa na uefa champs hapa katikati
 
leo 13/09/2014
arsenal vs man city draw
crystal palace vs burnley (win crystal palace)
southampton v/s newscaster draw
stoke city v/s leicester city (stoke city) win

elfu kumi inanipa laki 410,000
 

naona umejitoa ufahamu, watu kama nyinyi mnahitajika sana humu wanao fikiri nje ya boksi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…