Msingi_Mbio
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 336
- 44
Wakuu nimegundua kuicheza online kuna hela nje nje jana nimepiga hela sana yaani timu matokeo yanabadilisha odds wa mwanzo anakiwa wa mwisho wa mwisho anakuwa wa kwanza basi hapo unajikuta umeweka dau kwa woote yaani home, draw ,away unachosubiria ni matokeo tu na faida kwani huna hasara hapo
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Jamani naomba mikeka yenu ya leo. Tucopy n paste
Sijaielewa vizuri hii trick mkuu naomba nieleweshe tupige pesa sieWakuu nimegundua kuicheza online kuna hela nje nje jana nimepiga hela sana yaani timu matokeo yanabadilisha odds wa mwanzo anakiwa wa mwisho wa mwisho anakuwa wa kwanza basi hapo unajikuta umeweka dau kwa woote yaani home, draw ,away unachosubiria ni matokeo tu na faida kwani huna hasara hapo
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mfano man city ikafunga goli
Arsena anaongezewa odds inakuwa 4.0 badala ya 2.5
Man city anapunguziwa odds inakuwa 1.0 badala ya 2.5
Na ndroo inaongezeka toka 3 na kuwa 4 mpaka 5
Basi we hapo unaenda kwenye droo unaweka mzigo wa laki inakuja laki nne
Mwisho wa siku unakuwa umebet
Arsena win kwa laki ili upate laki mbili na nusu
Man city win kwa laki ili upate laki mbili na nusu
Na droo kwa laki ili upate laki nne
Mwisho mfano ni droo
Unakuwa na laki nne unatoa laki tatu ulizotumia unakuwa umeondoka na laki moja
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Sasa vipi mechi ikiisha kwa arsenal kuwin , si ina maana ninakuwa nimeliwa mana itakuwa nimewekeza laki 3 afu mi nimekula laki 2.5 ( au sijaielewa vizuri hii trick)Ila inaitaji ujanja sn
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mfano man city ikafunga goli
Arsena anaongezewa odds inakuwa 4.0 badala ya 2.5
Man city anapunguziwa odds inakuwa 1.0 badala ya 2.5
Na ndroo inaongezeka toka 3 na kuwa 4 mpaka 5
Basi we hapo unaenda kwenye droo unaweka mzigo wa laki inakuja laki nne
Mwisho wa siku unakuwa umebet
Arsena win kwa laki ili upate laki mbili na nusu
Man city win kwa laki ili upate laki mbili na nusu
Na droo kwa laki ili upate laki nne
Mwisho mfano ni droo
Unakuwa na laki nne unatoa laki tatu ulizotumia unakuwa umeondoka na laki moja
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mfano man city ikafunga goli
Arsena anaongezewa odds inakuwa 4.0 badala ya 2.5
Man city anapunguziwa odds inakuwa 1.0 badala ya 2.5
Na ndroo inaongezeka toka 3 na kuwa 4 mpaka 5
Basi we hapo unaenda kwenye droo unaweka mzigo wa laki inakuja laki nne
Mwisho wa siku unakuwa umebet
Arsena win kwa laki ili upate laki mbili na nusu
Man city win kwa laki ili upate laki mbili na nusu
Na droo kwa laki ili upate laki nne
Mwisho mfano ni droo
Unakuwa na laki nne unatoa laki tatu ulizotumia unakuwa umeondoka na laki moja
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Kucheza online is more risky maana timu ikitangulia odds zinapungua.. Let's say city sikuile alivyofunga 1 odds zilipungua mpaka 1.4 which means mtu kwa mpira ule na akili ya harakaharaka usingefikiria kuweka draw.. Lazima ungetia hata 50 tena umpe city ule hiyo 20. Haya akaja asernal akafunga goli 2 na akawa anakimbiza ile ile.. Odds akawa nazo 1.5, pia hapa ungetaka kurudisha pesa yako uliyompa city. Maana there was no way ungeona kama city ataridisha kwa mpira ule. Unaweka laki 2 ili ule hiyo moja at least ulinde mtaji. Mwisho Wa siku game suluhu huku ushapoteza pesa ndefu
online ndo kuna hela. Mfano jumamosi game ya chelsea alikua na odds ya 1.27 lakini alipopigwa bao kitu kikapanda hadi 2.85 katika dakika 40, mi nakaweka msimbazi dk ya 41. Kadhalika na game ya barca nayo niliipandilia haftime. Uzuri wa online mkubwa aanze kufungwa tu, lakini sometime inabuma kama game ya liva.
Come on west ham
hili game navoliona litaisha 0-0