Msingi_Mbio
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 336
- 44
Wakuu nimegundua kuicheza online kuna hela nje nje jana nimepiga hela sana yaani timu matokeo yanabadilisha odds wa mwanzo anakiwa wa mwisho wa mwisho anakuwa wa kwanza basi hapo unajikuta umeweka dau kwa woote yaani home, draw ,away unachosubiria ni matokeo tu na faida kwani huna hasara hapo
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums