Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah mtu angepatia kina Olympiavcos, Monaco, Dortmund hata 10000 tu leo angekuwa na laki 2 hivi na ushee
 
ndio mkuu...elfu 30 imenipa elfu 34 kama faida...nakuza mtaji na mimi nianze kuweka kilo moja izae kilo mbili...rahisi sana asee

uliwekaje? Maana mi nilitaka kuweka mhudumu wa meridian akanambia option kwa leo haipo
 
uliwekaje? Maana mi nilitaka kuweka mhudumu wa meridian akanambia option kwa leo haipo

mbona ilikuwepo, huwa ipo mechi zikikaribia (LaLiga, EPL na Seria A, Champions League...Europa sijaangalia bado.....lakini ni online tu nadhan...cheki UEFA leo kwa mfano
 
Mm nmeweka mikeka hadi ya kesho...kuanzia jana,leo na kesho imepita jana bado leo chelsea na city halaf kesho europa
 
Leo ni leo, asemae kesho ni mwongo, leo ni leo
 
Hili jamvi kuna watu ni furaha tu japo kila baada ya siku mbili,wengine unapita mwezi ni vipigo tu.
 
Weka ata nyumba, weka ata Ada ya chuo, weka ata pesa ya sanda...... hapa kanjibai hachomoki......

Notting Forest vs Fulham fc........ Notting Win
Fc Bayern Munch vs Man City.........G.G
Chelsea vs Schalke 04.................. NO RED CARD
AS Roma vs CSKA Moscow............. NO RED CARD
Barcelona vs Apoel ........................ Handcup
Athletic bilbao vs Shakhlar .............. NO RED CARD
 

Hii ni ya meridian au premier betting?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…