mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
Halafu nilikuwa sifahamu, kumbe mkeka wa boli unaweza changanya na Rugby, NFL, Basket, na michezo yoooote kwa meridianbet.?
hadi tennis, hockey mchezo wowote ule...
hahahahahahhahhaa...!
Mkuu huu ni ule nilokwambia nimefanya mixture ya basebal, tennis, football na ruggby kwa majaribio. Mtu wa tennis kachafua mkeka, Laa sivyo asubuhi hii nilikuwa nasema mengine. Kazini wangeona nina furaha tuu pasipo kuelewa chanzo cha furaha. Ila one day yes, Kanjibai atakaa tuu atake asitake.
halafu odd iliyokuchania mkeka ni 1.15 ! ploe
mkuu hizi odd ndogo usiziweke kabisaa , mwenyewe unajipa moyo za uhakika halafu zinachana!
bora odd kubwa ikuchanie unaona kabisa ilikuongezea kitu!
Am now taking this serious its a business like other businesses, maana investors wao wanachukulia hii kama biashara ila sisi ndio twachukulia kimatani matani. Mie nina mpango wa kupata angalau 3mil kwa mwezi.

nawapa napoli, lile, steau na sevila
Hii biashara ni km unamiliki daladala km upo kimahesabu unaweza kila siku kuingiza laki.........!kuna site flani watu wanaweka hadi euro 20,000.00......Am now taking this serious its a business like other businesses, maana investors wao wanachukulia hii kama biashara ila sisi ndio twachukulia kimatani matani. Mie nina mpango wa kupata angalau 3mil kwa mwezi.
leo najikumbushi swaga za kuweka buku...iliupate laki i:coffee:
ticket2.png
leo najikumbushi swaga za kuweka buku...iliupate laki i:coffee:
ticket2.png
mkuu huu mkeka wako nataka nijilipue niweke buku 5leo najikumbushi swaga za kuweka buku...iliupate laki i:coffee:
ticket2.png