Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hadi tennis, hockey mchezo wowote ule...

hahahahahahhahhaa...!
Mkuu huu ni ule nilokwambia nimefanya mixture ya basebal, tennis, football na ruggby kwa majaribio. Mtu wa tennis kachafua mkeka, Laa sivyo asubuhi hii nilikuwa nasema mengine. Kazini wangeona nina furaha tuu pasipo kuelewa chanzo cha furaha. Ila one day yes, Kanjibai atakaa tuu atake asitake.

Capture5.JPG
 
halafu odd iliyokuchania mkeka ni 1.15 ! ploe

mkuu hizi odd ndogo usiziweke kabisaa , mwenyewe unajipa moyo za uhakika halafu zinachana!

bora odd kubwa ikuchanie unaona kabisa ilikuongezea kitu!
 
halafu ukiangalia yeye ni wa 5 katika ranking za tennis, mwenzake ni wa 85. WTF...!

Na huu nao saa hizi ndio nauangalia nauangalia watu wa soka wamenichania mkeka.

s.JPG
 
Am now taking this serious its a business like other businesses, maana investors wao wanachukulia hii kama biashara ila sisi ndio twachukulia kimatani matani. Mie nina mpango wa kupata angalau 3mil kwa mwezi.
 
hahah mkuu wa kazi naona umeamua
 
Am now taking this serious its a business like other businesses, maana investors wao wanachukulia hii kama biashara ila sisi ndio twachukulia kimatani matani. Mie nina mpango wa kupata angalau 3mil kwa mwezi.

Word mkuu, hii ni kazi kama kazi nyingine. Inatakiwa kufocus na kuconcentrate katika kubet, naamini hutokuwa na hasara kamwe. Nimeanza kuvutiwa na Baseball, na american football, yaani huo mkeka mixture nilichofanya ni kuwapa wenye odds ndogo tuu. Timu zaidi ya 15 zikatiki, kabla huyo mpuuzi mmoja wa tennis hajaharibu shughuli.
 
Am now taking this serious its a business like other businesses, maana investors wao wanachukulia hii kama biashara ila sisi ndio twachukulia kimatani matani. Mie nina mpango wa kupata angalau 3mil kwa mwezi.

Hahahahaha mkuu umenifurahisha at the same story umenipa Moyo wa ajabu
 
nawapa napoli, lile, steau na sevila

Lille wameniua jana afu ambacho nimegundua timu za france nyingi huwa zinatoa sare hata ligi yao so nataka popote napo bet tm ya france ni sare tu.
 
Am now taking this serious its a business like other businesses, maana investors wao wanachukulia hii kama biashara ila sisi ndio twachukulia kimatani matani. Mie nina mpango wa kupata angalau 3mil kwa mwezi.
Hii biashara ni km unamiliki daladala km upo kimahesabu unaweza kila siku kuingiza laki.........!kuna site flani watu wanaweka hadi euro 20,000.00......
 
sure bet moja ya uhakika...

20:00 Dynamo Dressen - Mainz , win , l 1 l odd 1.47 , german liga 3
 
tayar asee...wanawekaga alhamis usiku....alafu odds kubwa huwa zina katabia kakushukashuka!! ni vizur kuweka mapema
 
Back
Top Bottom