Yaani nimewekeza 200000 kwenye account zangu tatu huu ni mtaji mpya. Sitaki mchezo faida lazima hasara haikubaliki
Meridian 50000
Sportpesa 100000
Iplay8casino 50000
Yaani faida lazimaaaa
maangamizi ya weekend hayo Andybird
Yaani nimewekeza 200000 kwenye account zangu tatu huu ni mtaji mpya. Sitaki mchezo faida lazima hasara haikubaliki
Meridian 50000
Sportpesa 100000
Iplay8casino 50000
Yaani faida lazimaaaa
Fanya kweli kiongozi mpaka wahindi wakuogope kama Bill walters anavyo ogopwa Las VegasAm now taking this serious its a business like other businesses, maana investors wao wanachukulia hii kama biashara ila sisi ndio twachukulia kimatani matani. Mie nina mpango wa kupata angalau 3mil kwa mwezi.
Kuna kitu kinaitwa Law of Attraction, Once unapofanya kitu kwa moyo mmoja, kwakujiamini Always unapata au unashinda, ndo maana kwenye Interview watu wanaambiwa ukiwa confidante unapata kazi, With this spirit, this week utapata pesa nyingi sana, Don't ever let someone tell you that you cant do something.....
But kila kitu kina Ethics na Principles, ata Betting ina principles na Ethics zake. Wezentu wa America and Europe wanaishi kwa Betting na niwatu wanapesa hatari, coz wanaeshimu Ethics and principles za Betting, ila kwa Africa tunaona kama uhuni tu, na ni aibu ata kusema mbele za watu kua una bet..........
Wenzetu wana Forums and groups, wanafanya Discussions na kuweka mikeka yao wazi before wajabet ili wapewe ushauri, ila sisi niwabinafsi sana, utaskia mtu anakwambia nimepiga laki tisa, leo nimekula. kama ungekua umeweka wazi si ungesaidia na wengine kupiga mpunga na next time mnajua timu gani ukiipa pesa yako inakua salama......
twende kwenye Ethics za Bettings sasa.......
wewe ni mshabiki wa Arsenal, au Man u, au Chelsea, kwakua timu yako inacheza this weekend na unaipenda na unajua kushinda nivigumu, unaweka tu mzigo kwakua ni timu yako na unaipenda, dont do that kabisa, ikiwezekana usiwe unaiweka timu yako ata kama unajua itashinda....
sio kila timu yenye Odds ndogo itashinda, ukiona timu imepewa 1.23 na nyingine imepewa 12.5 ukajua yenye 1.23 itashinda tu. kwa mfano Aston villa wakacheza na Man U lazima tu Aston Villa atapewa 12.50 na Man U watapewa 1.23 lakini sasa hivi Aston villa ni wapili na wako vizuri sana, fanya research kabla hujaweka mpunga.... kumbukeni kilichomtokea LIverpool.
Sio kila mechi laziwa kubet final results, kuna mechi nyingine ata shekhe yahya anazikimbia, ata Pweza Paul angechemka tu, kama Mechi ya Chelsea na Man City. kuna options nyingi sana, fanya reseach chagua ambayo ni salama kwa pesa yako, Mfano hii mechi kuisha kwa 1-1 au 2-1 au 0-2 au ata 3-1 nikawaida sana, sasa wewe kuweka pesa yako kwenye mikono salama nikuweka Over 1.5...( other factors remain constant)
Kuweka Timu zaidi ya moja kwenye mikeka mitatu ni dhambi kubwa sana kuliko kula nyama ya mtu. umetengeneza mikeka mitatu au zaidi, kila mkeka unatimu tano. but katika kila mkeka kuna timu zimejirudia... timu moja ikipoteza nikilio cha kufa mtu, umechana mikeka yote..... mfano mzuri tu
1. Man u 2. Madrid 3 Malmo Liverpool
2. Dortmund Congo Liverpool chelsea
3.Arsenal Liverpool chelsea
4. Everton Barcelona Liverpool Chelsea Ghana
hapo akifa Liverpool au Chelsea mikeka yote kwenda.
ntaendelea badae..........
andybird314 afadhali mtaji wote unge invest kwenye account moja kama iplay ucheze over 0.5 kila siku faida utaiona kwa haraka..Yaani nimewekeza 200000 kwenye account zangu tatu huu ni mtaji mpya. Sitaki mchezo faida lazima hasara haikubaliki
Meridian 50000
Sportpesa 100000
Iplay8casino 50000
Yaani faida lazimaaaa
andybird314 afadhali mtaji wote unge invest kwenye account moja kama iplay ucheze over 0.5 kila siku faida utaiona kwa haraka..
Asante kwa taarifa mkuu. Mie nimeamua fanya hivyo kutokana na utofauti wa kampuni kwenye odds na sehemu nilipo kwa sasa
Sportpesa ndio ya wapi?