Bet wonBaada ya kula za uso jana. lets try again.
Inplay
Australia v Japan = Total goals under 2.5
Baada ya kula za uso jana. lets try again.
Inplay
Australia v Japan = Total goals under 2.5
Hapa umempa za USO..Baada ya kula za uso jana. lets try again.
Inplay
Australia v Japan = Total goals under 2.5
Ushindi kwa odds alizobadiliKarudisha pesa au kakupa muamala wa ushidi???
So keki tunanunua au hatununui? [emoji23] hongera mkuuJuzii niliweka mkekaa hapa nitaka kumpa israel nikaulizaa ili nijilipue!!
nikajilipua ila bahati mbayaa mkeka ukachanwa na wales
nikabakiwa na buku kwa hasira nika beti
mechi 12!! ilikuwa ni saa sita usiku na ndo ilikuwa birthday yangu
sikutaka kufatilia maana nili beti hovyo hovyo mpaka korea huko
sasa leo asubuhi nipo lecture room nashangaa meseji ya tigipesa inanionyesha nimemla muhindi laki tatu na 90 tax 70 me nikapata laki 3 na 20 aiseeeeeee sijui nisemejeeee
Buddy njoo huku utupie tips za bankocep plz wengine hatuna access nazo
Chinise Taipei vs East Timor - 1
Laos vs Maldives - 2
Rep. Ireland U19 vs German U19 - 3+
Gibraltar U19 vs Albania U19 - 3+
Australia vs Japan - Goals 2-4
-----
Odds 6.81
Kua na moyo mkuu maana yaweza kua leo ndo siku yako ya kumla kanji.Nataka kubeti lkn moyo unakataa nasikia kuogopa kubeti
Bet Lost