Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Wadau ,naombeni msaada wenu hapa Nina khali gumu juzi nimeliwa lak 200000 kwa Leo nahitaji odd 2 niweke lak 1 niokoe jahaz
Cc Mr. Wise
Buddy
Wakusoma
Perpendicular
Na wadau wote wa hii biashara.
hii ni app gan mkuu
Bettings tipshii ni app gan mkuu
Una zidisha kila odd then unapata total oddsNipeni somo wadau jinsi ya kujumlisha odds
unaweza kuscreenshot icon yake maana zipo nyingBettings tips
Hiv MTOTO wa inzi makokoro Ya hivyo ulishayawa kura Mara ngapi?[/
Ndio maana ya kuuweka mkongwe... Mtu ajiokotee anazoona zitatoa.... Atie mzigo... Mi nimeutoa kwa 2000 bado napiga hesabu kuchambua chache nitie mzigoKwenye huo mkeka nitachukua game 3 tu, Ya Man City vs Everton, Nancy vs PSG na Betis vs Real Madrid.
Total odd 2.25.
unaweza kuscreenshot icon yake maana zipo nying
Ndio maana ya kuuweka mkongwe... Mtu ajiokotee anazoona zitatoa.... Atie mzigo... Mi nimeutoa kwa 2000 bado napiga hesabu kuchambua chache nitie mzigo
Sure mkuu, mi nitaokota hizo nitie dau.
Kuna game nimecheza hapa ya preseason kati ya NOP na Houston under 210, naona majibu yanakaribia. Niliipost juu.
Premierbet waliwapa under 228.5 odds 1.84 kabla haijaanza nkaiogopa.... Nastuka imeshaanza....nkatemana nayoSure mkuu, mi nitaokota hizo nitie dau.
Kuna game nimecheza hapa ya preseason kati ya NOP na Houston under 210, naona majibu yanakaribia. Niliipost juu.
vipigo vimezid mkuu watu wanajiulizaJukwaa limepoa wazee..
Hivi hii wikend mbona kama inakuja slowmotion