Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi ya Ndanda imeisha kapigwa goli moja ila cha ajabu ipo meridiani livebet. Kwa mwenye mzigo ajaribu mi nilishakaushwa apa naugulia tu
 


I really hope hujaweka stake kubwa hapa.

Tuanze na Al Naser v Kazma Fc
Toka waanze kukutana wamecheza game 38. Game 21 kashinda Kazma Fc, 7 wamedraw na game 10 tu ndo Al Naser ameshinda. Toka mwaka uanze game zote ameshinda Kazma Fc kwa 4 -1 na 3 -1. Na kwa miaka mitatu toka 2013 AL Naser kashinda game moja tu. Halafu Kazma Fc yuko on form 5 previous game zake only 1 game katoka draw zingine zote kashinda.
​

Tuje kwa Al Shabab Kuwait v Al Jahra
Wamecheza game 26. Game 12 kashinda Al Jahra, 8 wamedraw na game 6 tu ndo ameshinda Al Shabab. Toka mwaka uanze wamedraw game moja 2 - 2. And in the past 3 years Al Shabab kashinda game 2 tu.
​
Tumalizie na Al Qadisiya v Al Tadamon
Hawa nao wamecheza game 26. 22 kashinda Al Qadisiya, game 4 tu ndo wametoka draw. And in the past 4 years zote kashinda Al Qadisiya hakukuwa na draw hata moja.
​
So am not saying kwamba labda muhindi hajakosea, just that you should take hizo facts into consideration kabla hamjabet.
​
References:
Al Qadsia vs. Al Tadhamon - 13 October 2016 - Soccerway
Al Nasar vs. Kazma - 13 October 2016 - Soccerway
Al Shabab vs. Al Jahra - 13 October 2016 - Soccerway
 


Thanks for Analysis. Nimebet based on recent form ... which to me matters most. Kama tungefuata history za namna hii kwa Leicester City msimu ulopita tu, ingekuwa balaa sn.

Mimi na-prioritize recent form ahead of H2H.

 
Mechi ya Ndanda imeisha kapigwa goli moja ila cha ajabu ipo meridiani livebet. Kwa mwenye mzigo ajaribu mi nilishakaushwa apa naugulia tu
ruvu shooting vs ndanda fc? kama nfio hiyo bado ipo dakika ya 42 mpaka napo maliza kuandika post hii
 
Mkuu ziandike basi ww maana simu yang haioneshi bado


Tafuta KUWAIT Premier league kwenye hyo betting site unayotumia utaziona. 2 zinaanza saa 11 na nusu na nyingine saa 2 ucku.
 
Thanks for Analysis. Nimebet based on recent form ... which to me matters most. Kama tungefuata history za namna hii kwa Leicester City msimu ulopita tu, ingekuwa balaa sn.

Mimi na-prioritize recent form ahead of H2H.

Ooh, okay then.
 
ruvu shooting vs ndanda fc? kama nfio hiyo bado ipo dakika ya 42 mpaka napo maliza kuandika post hii
Mechi imeshamalzika mi nilkua naitazama bana sema tu sina ela. Ndanda wamefungwa goli moja dk ya 70s
 
Mechi imeshamalzika mi nilkua naitazama bana sema tu sina ela. Ndanda wamefungwa goli moja dk ya 70s
kk usifanye nikaweka mzigo alafu nikaliwa naangalia hapa sofa score game ipo dakika ya 53 na ni 0,0 meridian pia ipo dakika ya 53 bado ni 0,0
 
Mechi imeshamalzika mi nilkua naitazama bana sema tu sina ela. Ndanda wamefungwa goli moja dk ya 70s

mkuu unaota au? au umeajiriwa na meridian unaamua kupeleka watu chaka? mmmmhhh hiyo itakua Ndanda cossovo labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…