Wazee wa kubet hebu jaribuni hii hafu mlete mrejesho hapa Live in-play:
Steps: 1. Ikiwa game iko live dakika kama ya 68-74 ukikuta odds kwa "exact score" ziko 1.3 to 15, likely hood ya magoli mawili kuingia sio kubwa sana, so fanya chaguzi 2, ya kwanza chukua ile ambayo ni existing kama ni 0:0, au 1:0 au 1:1, imediately chukua ambayo inaongeza goli kwa yule mwenye odd ndogo, na hakikisha umebalancisha maximum payout.
Eg: Yanga vs Mtibwa, winning odds ni 1.23 kwa 15 game iko dakika ya 69 na matokeo ni 0-0 kwa muda huo, kunakuwa na selections zifuatazo kwenye exact score;-
0:0 odd 2.85
1:0 odd 3.10
1:1 odd 5
0:1 odd 12
Kwenye hizo odds, Yanga ni stronger, kwa dakika zilizobaki ni either matokeo yabaki hivyo au Yanga afunge goli.
Ukiweka 10,000 kwenye 0:0 unapata 28,500
Ukiweka 9,200 kwenye 1:0 unapata 28,520
Matokeo yakiwa mojawapo kati ya hayo juu unakuwa umetumia sh 19,200 na unakula 28,500. So faida ni kama sh 9,300 ambayo ni almost 48%.
Angalizo: Exact scores ni very risk kubet, i.e Yanga inaweza kuizidia Mtibwa kwa kuipiga goli 2 za fasta, au Mtibwa ikaiangukia Yanga goli moja tu na ukawa umepoteza.
Fanya majaribio kwa kubet sh 300 mara nyingi uwezavyo ili ucalculate probability ya kupata na kukosea.