The Higher the risk of an investment, The higher the expected profit
wakuu, kamkeka kangu kametiki...niliweka $15 nimepata faida $11! Bring On Tomorrow Agaiiin!!!!!View attachment 188067...lolote na liwe
wakuu, kamkeka kangu kametiki...niliweka $15 nimepata faida $11! Bring On Tomorrow Agaiiin!!!!!
ndio mkuu, ndio hako hako....naona nakaoteahongera sana, ni kalekale ka mchezo ka 10minutes?
wazee wenzangu nisaidien tena sehemu ya mwisho meridian. kwenye kutoa hela ndio unaenda kwenye account kisha payment type betshop kisha unachagua mpesa. ndio hivyo au nimebugi step?
wazee wenzangu nisaidien tena sehemu ya mwisho meridian. kwenye kutoa hela ndio unaenda kwenye account kisha payment type betshop kisha unachagua mpesa. ndio hivyo au nimebugi step?
vipi tena andy ushatusua nini?
karibu kilingeni hapa ndo home of great investorz where we dare to risk fearlesly
hapana mkuu,nenda on your A/c then click on Deposit/withdrawal kwa chini left hand utakuta kijibox "money amount" weka kiac then select payout type
mechi za Jana kulikua hakuna redcard so nahisi wote tulio weka no red card tumekula mpunga
mbona hawa Meridian hawatuwekei Red Card....au washaanza kushtukia tunawapiga