Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wazee wa kilingeni huu umekaaje aisee?
 
Attachments

  • 1411734858416.jpg
    48.9 KB · Views: 95
wazee wenzangu wa kijiwe cha kubet nataka nitoe ushauri "WIKI HII TUWE MAKINI NA TIMU KUBWA (POWER LEAGUES) ZINAWEZA KUCHANA MIKEKA SABABU TAREHE 30 NA TAREHE 02 OCTOBER NI UEFA $ UEROPA LEAGUES ZINAENDELEA".
 
Wazee wenzangu wa kilingeni ni habari nzuri na mbaya.
Red card na penalty zimerudishwa.
Lakini points zimeminywa.

CHANGAMKIENI FURSA FASTA kabla mtandao haujaanza kuganda..,,
 
Wazee wenzangu wa kilingeni ni habari nzuri na mbaya.
Red card na penalty zimerudishwa.
Lakini points zimeminywa.

CHANGAMKIENI FURSA FASTA kabla mtandao haujaanza kuganda..,,

teh teh jamaa washastukia kuwa wanaliwa ktk options hizo.
 
Meridian najisajilije jama?? Sisi huku premier betting tuu
 
Wazee wenzangu wa kilingeni ni habari nzuri na mbaya.
Red card na penalty zimerudishwa.
Lakini points zimeminywa.

CHANGAMKIENI FURSA FASTA kabla mtandao haujaanza kuganda..,,

Hahaha yani hapa mtandao naona kaanza kuuminya ni mwendo wa kobe
 
Meridian wapo vizuri sana aisee. I salute them, yaani hela unaipata kweli within 24 hours. na unapewa ya kutolea kabisa! BIG UP MERIDIAN!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…