Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hii half looser ndo nini ?
Kuna matumaini au ndo kutiana moyo
Manake na mikeka mitatu half looser

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Halafu naitaji msaada kwa wastani mechi huwa ina kona ngapi na yellow card ngap nataka nihamie kwenye option hizi naona zina odds nzuri tu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwaiyo kona 5 na yellow card 5 sio ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wakuu hii half looser ndo nini ?
Kuna matumaini au ndo kutiana moyo
Manake na mikeka mitatu half looser

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Nahisi ni kwamba ushapotea kabla matokeo ya mkeka mzima hayajapatikana.

Halafu naitaji msaada kwa wastani mechi huwa ina kona ngapi na yellow card ngap nataka nihamie kwenye option hizi naona zina odds nzuri tu
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Inategema na mechi kuna zingine zina mpaka coner 4 tu mechi nzima nyingine zinafika mpaka 13. Hata yellow cards pia inategemea na mech yenyewe ni vigumu kidogo ku otea hizi.
 
Kwa heshima ya Fibonacci nimerudi iplay nimetoa wa first 10 minutes.
 
Attachments

  • 1411816367284.jpg
    76 KB · Views: 92
Last edited by a moderator:
Baada ya kufanya aligorithms zangu nimetengeneza haka ka mkeka
naomba kuwasilisha. total odds ni 10

Msaada tafadhali
Nipo iplay8casino,nimekuta stake usd....... alafu
double ........
triple .......
trixie@......
kwenye hizo desh najaza nini
 
Last edited by a moderator:
ngoja aje baharia nd,o mitaa yake hiyo ya iplay8

sawa sawa, baharia nakusubiri Mkuu,high risk for investment,high probability of winning.
 
Msaada tafadhali
Nipo iplay8casino,nimekuta stake usd....... alafu
double ........
triple .......
trixie@......
kwenye hizo desh najaza nini

hapo unaweka pesa sehemu inayolingana na idadi ya mech zako kwe mkeka wa kawaida.
Mfano mkeka wa mechi nane utaweka kweny eightfold @1____

Kama ni mech nane ukaweka kwenye double watakutengenezea mikeka ya mechi mbili mbili(mingi) kwa kila mechi katika mkeka wako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi natumia simu aina ya Nokia Lumia 510, je hiyo meridian inapatikana kwenye apps gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…