hongera mkuuView attachment 188688
daaa leo hachoropokiiii...najilaumu kwanini niliweka hela ndogo...namsubiri juve tu hapa na anaongoza moja bila
leo meridian kafurahii sana yaani.. marefa wamemtendea haki na hayo ma red card jinsi ufaransa kulivyowaka!
daah, mkuu...nimeupitia mkeka wako now....ume lost ka gem tano ivi kama sijakosea out of 15.....nakushauri ungepunguza idadi ya gemu.....naku guarantee faida kwenye hii option.....mimi bets zangu hizi hapa tangu nianze na hii option....hiyo double ya unsettled bet imeshatiki ni gemu mbili za mwisho za La Liga....nilikua najaribu kucover loss fulani baada ya Man City kuniharibiaKwa heshima ya Fibonacci nimerudi iplay nimetoa wa first 10 minutes.
hongera mkuu
View attachment 188448
kuna man city, benfica, monaco, atletico madrid na atletico bilbao...........
Mkeka wangu wa leo jamani huu hapa naombeni ushauri. westham win, chelsea win, evertone win,arsenal win, man c draw, .
Vp wakuu hawa M-BET mbona wanazingua?Tangu jana hawanitumii tiketi wakati nimekula pesa,watanilipa kweli?
duuu ! majanga tu, wiki ya tatu hii mfululizo naambulia chenga tu. inabidi sasa nipumzike kwanza
Ila huu mkeka ulikua wa kishujaa kwa kweli, yan umeekewa fitna na wachawi wawili tuu