Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

leo meridian kafurahii sana yaani.. marefa wamemtendea haki na hayo ma red card jinsi ufaransa kulivyowaka!
 
Mkeka.png

Huo ndo mkeka wa Rooney na Dotmund!
 
Kwa heshima ya Fibonacci nimerudi iplay nimetoa wa first 10 minutes.
daah, mkuu...nimeupitia mkeka wako now....ume lost ka gem tano ivi kama sijakosea out of 15.....nakushauri ungepunguza idadi ya gemu.....naku guarantee faida kwenye hii option.....mimi bets zangu hizi hapa tangu nianze na hii option....hiyo double ya unsettled bet imeshatiki ni gemu mbili za mwisho za La Liga....nilikua najaribu kucover loss fulani baada ya Man City kuniharibia
 
Attachments

  • tickt.png
    tickt.png
    9.7 KB · Views: 133
Vp wakuu hawa M-BET mbona wanazingua?Tangu jana hawanitumii tiketi wakati nimekula pesa,watanilipa kweli?
 
Mkeka wangu wa leo jamani huu hapa naombeni ushauri. westham win, chelsea win, evertone win,arsenal win, man c draw, .

duuu ! majanga tu, wiki ya tatu hii mfululizo naambulia chenga tu. inabidi sasa nipumzike kwanza
 
mi team za ufaransa nazitema...hazitabirikii zinaharibu sana mikeka
 
Vp wakuu hawa M-BET mbona wanazingua?Tangu jana hawanitumii tiketi wakati nimekula pesa,watanilipa kweli?

kama hawajakutumia tiketi na umeshinda watumie ile msg ya m-pesa uliyolipia ikiwa na code namba wataangalia kwenye mashine zao kisha watakutumia hela yako yote uliyoshinda.
 
duuu ! majanga tu, wiki ya tatu hii mfululizo naambulia chenga tu. inabidi sasa nipumzike kwanza

pole sana mkuu nadhani jaribu kucheza option zingine kama GG,idadi ya magoli au no redcard sio kila siku unacheza win.
 
Back
Top Bottom