Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daa kamkeka kangu ka no penalty ka tangu ijumaa kalikuwa kanapumua nikawa najipa matumaini tayari chali huko italy

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Huyu Inter milan ana nini????
mamamae inter yani ameniharibia mkeka wangu wa toka jana..... safari ndefu inakuja ishia pabaya....!!! kwa staili hii mpira wa italy utaendelea kuwa chini siku zote...!!!! refa kaharibu mpira na wachezaji nter utafikiri sio wale walimpiga 7-0 !! kuna tajiri alishanunua match !! *****
 
kubet match za italy kumenikoseha mi-ri-o-ni , 50 yangu bora ningekwenda nywea bia😡 yani inter milan anafungwa na haka katimu cagliari ???? c milan naye hoi yani anashindwa ifunga timu ndogo iliyopanda daraja , cesena :angry:
marefa wamekula mipunga kutoa red card kuharibu matches na wachezaji utafikiri sio wale walishnda 3-5, 7-0 !!!:angry:

cc juve2012, Ziroseventytwo Mourinho
 

aisee hawa mafia wa italy ndo wameua soka lao na ligi yao.. Miaka ya 90 ligi ya italy ndo ilikua bora kwa maana kila star wa dunia alikua pale na klabu zilikua competitive.. Sahivi italy ntabetia ktk UEFA
 
naomba kufahamu code namba ya tanzania ili nijiunge bet365,
 
Wazee wenzangu, muwe mnacheza Basketball Live in play, ukiwa mjanja ukosi 50,000 kwa siku.
Fanya hivi.......usiweke mkeka mpaka mechi ifike quarter ya pili 2/4 then chukua matokeo ya timu zote mbili jumlisha na kisha toa the amount of total then dived by 2 utajua uweke kwenye over/under....

Mfano
currently points is Over 160 and its 2/4( second quarter)
Real Madrid..... 45
Barcelona........ 40

therefore the total points is 85 (45+40)

then chukua 160-85= 75

75 means the total points zilizobaki kufika 160, then chukua 75 gawa kwa 2 (75/2)=37.5 hii inamaana kama vipindi viwili vya mwanzo waliweza kufungana points 45 kwa 40 basi its possible vipindi viwili vya mwisho pia wanaweza fungana zaidi ya 37.5 points, ivyo weka Over 160 odd sio chini ya 1.80. mie kila siku nakula 50,000 nalala.... am trying to share some tricks. (other factors remains constant )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…