Hassan wenger
Senior Member
- Aug 21, 2014
- 181
- 32
Augsburg,westbrom na bodoux
Mkuu nielekeze ofisi za M-BET zilipo hapa DSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Augsburg,westbrom na bodoux
Mkuu nielekeze ofisi za M-BET zilipo hapa DSM
sijui wapo wapi ila wachek kwnye simu
Huyu Inter milan ana nini????
Kwenye sim anazingua jamaa anakua mkali
ana redcard tayari
watakutumia tu hela japo sometime wanachelewesha
Tatizo hawajatuma hata tiketi!
mamamae inter yani ameniharibia mkeka wangu wa toka jana..... safari ndefu inakuja ishia pabaya....!!! kwa staili hii mpira wa italy utaendelea kuwa chini siku zote...!!!! refa kaharibu mpira na wachezaji nter utafikiri sio wale walimpiga 7-0 !! kuna tajiri alishanunua match !! *****Huyu Inter milan ana nini????
kubet match za italy kumenikoseha mi-ri-o-ni , 50 yangu bora ningekwenda nywea bia😡 yani inter milan anafungwa na haka katimu cagliari ???? c milan naye hoi yani anashindwa ifunga timu ndogo iliyopanda daraja , cesena :angry:
marefa wamekula mipunga kutoa red card kuharibu matches na wachezaji utafikiri sio wale walishnda 3-5, 7-0 !!!:angry:
cc juve2012, Ziroseventytwo Mourinho
Augsburg,westbrom na bodoux
safi sana!!! odds zilikua ngapihuu mkeka hamkuufata hata kivuli?
safi sana!!! odds zilikua ngapi