Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wa mikeka
Leo weka
Aberdee win
Middledlesbrough win
Atl. Bilbao win
Barcelona win
Derby win
Chelsea win
Bayern win
Man cty win

For your own risk. Pia mzgo mrefu upate nying
 
Mzungu wa meridian kashituka no red card watu wanamla sana hususani hii CL ambayo watu hucheza kwa nidhamu kubwa sana, naona leo hajaweka no red card
 
Huyu mzungu wa meridian bora tu afunge huu mtandao wake yani siku akijua ataliwa huwa analeta magumashi sana, kwa Mfano Ona!
 
hivi meridian ukiwithdraw mzigo unachukua mud gani kuingia maana nimewithdraw jana night n leo asubuh hufiki tu.
 
wadau me mgeni ktk ulimwengu wa kubet, lakin mpenz wa soka kupita maelezo, niko mby, nataka niingie ktk huu ulimwengu, nipeni shule kdogo nijue jue kukoje uko.
 
wadau me mgeni ktk ulimwengu wa kubet, lakin mpenz wa soka kupita maelezo, niko mby, nataka niingie ktk huu ulimwengu, nipeni shule kdogo nijue jue kukoje uko.

Karibu sana kilingeni, ngoja C.E.O Rockcity native aje kukukaribisha vizuri..,,
 
Last edited by a moderator:
Mjomba hii kitu inaitwaje na vipi kuJoin nao hawana mlolongo mrefu?hususani swala la kudipost mchele?

ingia ladbrokes.com ukishafanya registration ntakuelekeza jinsi ya kudiposite na how unawza pata bet card
 
ingia ladbrokes.com ukishafanya registration ntakuelekeza jinsi ya kudiposite na how unawza pata bet card

Mkuu mimi nishajiunga, mwaga ujanja hapa. Nihame meridian, maana hayuko serious na biashara yake. Ngoja nidraw na pesa zangu nizihamishie ladbrokes
 
Gamble ni gamble tu, PSG kamkomalia Barca mbaya, utadhani siye aliyechana mikeka ya watu kwa timu za kijinga jinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…